Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,551
Muulize kachukua nini Mara tano,halafu muanzie hapo unaweza kuwa unabishana na mtu asiyejua chochote ukasumbua akili..Liverpool haikuwa na kocha wala wachezaji,team hii imeundwa sasa na Klopp na imeimarika!
Mwaka huu EPL na CL ni zetu!Kwanza hata mngemfunga Spurs kwa beki yenu hii Ajax wangewadharirisha tu
Sent using Jamii Forums mobile app