The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Inaweza tokea,, ila kila nkiwaangalia Ajax, wale watoto sijui wametafuna mizizi gani aiseeeeh,, maninaaa zao hawachoki kabisa kiukweli,, alafu kama miguu yao ina 4G ivi, sijui unanielewa mkuu? Ila hawa Spur nao kama nyuki vile ukipiga kelele ndo wanakuja yaaani,, yule SON daah sijui ana kifua cha kugh-fu? Ila timu zote nusu fainali zinachezea mpira
That's sure
 
Davet achana na uyu jamaa atupendi.
Mwakan atakakaakimya mwenyewe.
Sisi kinatuponza makosa madogo madogo tu nje ya hapo sisi ndo timu bora kabisa duniani for years
Hahah! Obvious hawezi kua anatupenda kama sisi tulivyo hatumpendi yeye maana tumekua ni Mahasimu sasa...

Kuhusu mwakani kuchukua ndoo Inshaalah maana itakua ni furaha kwetu pia itatupa uwezo wa kukaa meza moja kuanza kubishana kuhusu UCL na timu kama Liver,Man U na Chelsea
 
Kumbe majibu unayo ee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapigwe tu
Najua kabisa hupendi hichi kitu kitokee na ninajua ni kwanini hupendi kitokee 😂😂😂
 
Hiyo ndiyo point nayozungumzia, unaposema eti Ulaya wanakuchukia lazima ibebwe na Facts kwamba ume-achieve.

City ni timu nzuri sana, lakini unahitaji kushinda makombe Ulaya ili watu waiogope na kuichukia kama jamaa anavyosema.

Leo hii City na PSG huwi hata na pressure kubwa ukipangwa nao, tofauti na kupangwa na Bayern, Real Madrid, Barca, Liverpool, Juve etc.

Imagine PSG na ubora aliokuwa nao kakalishwa na Man Utd! Experience Uefa ni kitu kikubwa sana.
For sure itatugharumu muda sana aisee.
We don't have that UEFA spirit that's why.
 
Hahah! Obvious hawezi kua anatupenda kama sisi tulivyo hatumpendi yeye maana tumekua ni Mahasimu sasa...

Kuhusu mwakani kuchukua ndoo Inshaalah maana itakua ni furaha kwetu pia itatupa uwezo wa kukaa meza moja kuanza kubishana kuhusu UCL na timu kama Liver,Man U na Chelsea
Alimradi bado tunashiriki.
Hatunyamazi.
We suffer the same same disease with psg.
Ila bora sisi kdg
 
Mr. Don hebu sema interval yenu ya kuchukua UEFA utagundua inasikitisha pia .
Liverpool imekiwa timu watu kujichukulia ubingwa.
Mmeingia final mara nyingi kuliko mlizochukua..that won't be for city.
Time will tell

Ooh, kwa hiyo tumehamia kwa Man City vs Liverpool?

Watu watanishangaa kunikuta kwenye argument ya nani ni nani Ulaya kati ya hizi timu mbili.

Open your eyes man, don't be too subjective.

BTW: Liverpool haichukiwi Ulaya, hatuna tulichofanya kwa zaidi ya 10 years kusababisha kuchukiwa.

Ila kati ya City na Liverpool nani ni mtabe Ulaya wewe pia unajua.
 
Mm nimejifunza kitu,hizi uefa zinaenda kwa ngazi. Sema wacha tupande hvyo hvyo taratibu. Japo itachukua miaka.
Lets fight to reach final next year.
Inasikitisha sana
 
Hiyo ndiyo point nayozungumzia, unaposema eti Ulaya wanakuchukia lazima ibebwe na Facts kwamba ume-achieve.

City ni timu nzuri sana, lakini unahitaji kushinda makombe Ulaya ili watu waiogope na kuichukia kama jamaa anavyosema.

Leo hii City na PSG huwi hata na pressure kubwa ukipangwa nao, tofauti na kupangwa na Bayern, Real Madrid, Barca, Liverpool, Juve etc.

Imagine PSG na ubora aliokuwa nao kakalishwa na Man Utd! Experience Uefa ni kitu kikubwa sana.
Indeed mkuu umenena uhalisia japo sijajua mkuu goswe kazungumzia chuki kwa upande upi ila sitaki kuamini kua chuki inaweza kuletwa na achievement tu, naamini chuki inaweza kuletwa na mambo mengine nje ya hapo....

Kwamfano kuna mdau humu anasema anaichukia City sababu ya uwepo wa kocha(Pep)....
 
M. Davet humu kunawatu wameshikilia bango la ubaguzi.
Hawataki kabisa kumsikia pep.
Kisa eto.
Na wakaibeba io kuileta man city
 
Indeed mkuu umenena uhalisia japo sijajua mkuu goswe kazungumzia chuki kwa upande upi ila sitaki kuamini kua chuki inaweza kuletwa na achievement tu, naamini chuki inaweza kuletwa na mambo mengine nje ya hapo....

Kwamfano kuna mdau humu anasema anaichukia City sababu ya uwepo wa kocha(Pep)....

Okay hapo na mimi nimerukia kwenye hitimisho.

goswe anaweza kutufahamisha alimaanisha chuki ipi.
 
Okay hapo na mimi nimerukia kwenye hitimisho.

goswe anaweza kutufahamisha alimaanisha chuki ipi.
Haha jana nilienda kichek game kibanda umiza.
Kilichotokea tulipofungwa walishangilia wengi kuliko tulioshangilia tuliposhinda.
Hususan liverpool fans na manure.
Na maneno yao waliokuwa wakitoa ni dhibitisho tosha.
Sasa napoingia na humu naona ni wale wale wanapotoa point zao.
 
King alitoa ahadi nzito kwa mashabiki wa Barca ndio maana unaona anavyopambana, Hopefully ahadi yake ataitimiza
Hii game ya liverpool na barca itakuwa ni game ya magoli mengi sana pande zote mbili
Sasa mwenye mengi zaidi ndio atapita
 
Not salah.
Ila izo game unazoziona nyepenyepe ndo mbaya.
Unagame 4 city bado 5.
Na bado unaratiba ngumu

Spurs kaisha haribu akili za Man City,Jumamosi wataingia kwa hasira na watakula red mapema tu!
Spurs anapata point(s) ugenini
 
Back
Top Bottom