goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
That's sureInaweza tokea,, ila kila nkiwaangalia Ajax, wale watoto sijui wametafuna mizizi gani aiseeeeh,, maninaaa zao hawachoki kabisa kiukweli,, alafu kama miguu yao ina 4G ivi, sijui unanielewa mkuu? Ila hawa Spur nao kama nyuki vile ukipiga kelele ndo wanakuja yaaani,, yule SON daah sijui ana kifua cha kugh-fu? Ila timu zote nusu fainali zinachezea mpira