The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Liverpool haikuwa na kocha wala wachezaji,team hii imeundwa sasa na Klopp na imeimarika!
Mwaka huu EPL na CL ni zetu!Kwanza hata mngemfunga Spurs kwa beki yenu hii Ajax wangewadharirisha tu
Muulize kachukua nini Mara tano,halafu muanzie hapo unaweza kuwa unabishana na mtu asiyejua chochote ukasumbua akili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimradi bado tunashiriki.
Hatunyamazi.
We suffer the same same disease with psg.
Ila bora sisi kdg
Hahah ukiwa mgonjwa usimtizame mgonjwa zaidi yako maana utajipa moyo kua wewe mzima kumbe sio kweli, mtizame mzima ili ujitahidi kupata matibabu ili na wewe upone. Huyo PSG achananae
 
Amechukua makombe mengi kuliko kocha wowote ndan ya miaka 7

Bayern hata ukiwa wewe unachukua makombe yote matatu,Germany wale jamaa wanataka CL na Pep akashindwa kuwapa!
England huu mwaka wa tatu hana CL na ana EPL moja
 
Jidanganye.
Maana kwa sasa tupo free kupambana kwa ajili ya epl.
Tulikuwa na ratiba ngumu sana sasa sikilizia shoo
Man City sio timu ya kusema itapambania ligi kwakua sasa iko free.

Ina kikosi kipana mno tofauti na Liverfools ambao hata mechi ndogo wanaweka kikosi kinachocheza mechi kubwa.

Kutolewa ni imetolewa tu kwakua imekutana na wabishi.
 
Bayern hata ukiwa wewe unachukua makombe yote matatu,Germany wale jamaa wanataka CL na Pep akashindwa kuwapa!
England huu mwaka wa tatu hana CL na ana EPL moja
Sasa klopp anamiaka mingap
Alafu tuambie amechukua nn
 
Man City sio timu ya kusema itapambania ligi kwakua sasa iko free.

Ina kikosi kipana mno tofauti na Liverfools ambao hata mechi ndogo wanaweka kikosi kinachocheza mechi kubwa.

Kutolewa ni imetolewa tu kwakua imekutana na wabishi.
Mkuu ww unaongea point sanaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wadau hua wanakuja kutukejeri humu kua uzi wetu hauna wachangiaji sijui umepoa, mimi huwa nawaambia kwasababu hatufungwi. Sasa tumepata matokeo mabaya jana ndio maana unaona uzi unakimbia
Watashaangaa spurs na manure wakitupa kombe waziwazi.
Sijui watasema nn
 
Haha jana nilienda kichek game kibanda umiza.
Kilichotokea tulipofungwa walishangilia wengi kuliko tulioshangilia tuliposhinda.
Hususan liverpool fans na manure.
Na maneno yao waliokuwa wakitoa ni dhibitisho tosha.
Sasa napoingia na humu naona ni wale wale wanapotoa point zao.
Hahah! Hii kawaida kabisa mkuu mana ata ukiulizwa kati ya Man U na Barca ulikua upande gani lazima utasema Barca au liver na Porto lazima utasema Porto. Tot akichukua CL trust me hakuna atakaeumia zaidi wote tutafurahia
 
Haha jana nilienda kichek game kibanda umiza.
Kilichotokea tulipofungwa walishangilia wengi kuliko tulioshangilia tuliposhinda.
Hususan liverpool fans na manure.
Na maneno yao waliokuwa wakitoa ni dhibitisho tosha.
Sasa napoingia na humu naona ni wale wale wanapotoa point zao.

Nikwambie kitu, asilimia 90+ ya washabiki wa mpira Tanzania ni washabiki wa EPL.

EPL imeanza kuoneshwa Tanzania miaka ya 90 huko, hizi ligi zingine kama La Liga, Bundesliga, Seria A na League 1 watu huwa tunaangalia zile crucial games.

Huwezi kukuta banda umiza mtu anaonesha Barca vs D Alaves kwa kiingilio au R Madrid vs Real Betis.

Lakini Liverpool vs Westham, Arsenal vs Brighton, Man Utd vs Newcastle etc watu wanalipia na ukumbi unajaa.

In that sense, ukiona kwenye banda umiza watu wanashangilia Man City kufungwa, hao ni walewale wa EPL, wanaofurahi kwamba mbabe wao naye anafungwa.

On international level, hakuna anayeichukia City.

Kuna international forums watu wanadiscuss michezo, jaribu kujiunga utaona kitu ninachokisema.
 
Alaf sasa nakuhakikishia.
Man u hata asajili vp mwakan europa atatoa makundi
Mim sio shabiki wa man Wala arsena l ila nashangaa unaruka maswali ambayo kimsingi umeyaleta mwenyewe,Ewew Ni mpnz wa timu ya man city ila sio shabiki wa mpira..maana unaongea vitu vya kustaajabisha!!!!
#DAVET# I sallute u bro unaongea facts Hadi raha ebu kaa na kijana wako muulezeee mpira sio mapenz atakufa mapema maana anaruhusu hisia zimfichee ukweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikwambie kitu, asilimia 90+ ya washabiki wa mpira Tanzania ni washabiki wa EPL.

EPL imeanza kuoneshwa Tanzania miaka ya 90 huko, hizi ligi zingine kama La Liga, Bundesliga, Seria A na League 1 watu huwa tunaangalia zile crucial games.

Huwezi kukuta banda umiza mtu anaonesha Barca vs D Alaves kwa kiingilio au R Madrid vs Real Betis.

Lakini Liverpool vs Westham, Arsenal vs Brighton, Man Utd vs Newcastle etc watu wanalipia na ukumbi unajaa.

In that sense, ukiona kwenye banda umiza watu wanashangilia Man City kufungwa, hao ni walewale wa EPL, wanaofurahi kwamba mbabe wao naye anafungwa.

On international level, hakuna anayeichukia City.

Kuna international forums watu wanadiscuss michezo, jaribu kujiunga utaona kitu ninachokisema.
Ntafatilia
 
Back
Top Bottom