The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hahah! Siunajua watakua kwao OT alafu hawatakubali tuwatumie kama daraja kuiteka ndoo hivyo watakaza na kufanya game iwe ngumu upande wetu. Ile sasa kushinda kwao ndio ata mimi sina imani
Ww davet hili kombe tunalihitaji sana kuliko man u na top 4
Ili la kufutia machozi
 
Hahah! Siunajua watakua kwao OT alafu hawatakubali tuwatumie kama daraja kuiteka ndoo hivyo watakaza na kufanya game iwe ngumu upande wetu. Ile sasa kushinda kwao ndio ata mimi sina imani
Man u hawezi kuzuia kasi hii.
Yan city wamecheza sanaaaa.
Kwa game kama ya leo man u angelala nyingi sana
 
Yeah pale nyuma kuna katika sana.
Na spurs wamepajua vzr sana.
Isingekuwa kukosa kwao game ilikuwa GG
 
That's is really sure.
Ila kwa sasa spurs na liverpool ni timu nazoziheshim sana
 
Juventus naona huko kashatunukiwa ubingwa.
Ronaldo akiw mchezaj wa kwanza kushinda makombe makubwa matatu ya ligi kubwa
 
Yeah pale nyuma kuna katika sana.
Na spurs wamepajua vzr sana.
Isingekuwa kukosa kwao game ilikuwa GG

Sure, nahisi kiwewe au upepo ulikata kwa sababu ya nguvu kubwa waliyoitumia UEFA.

Ila kulikuwa na scoring chances tena ambazo wamezitengeneza, achana na zile za kukudondokea.
 
Sure, nahisi kiwewe au upepo ulikata kwa sababu ya nguvu kubwa waliyoitumia UEFA.

Ila kulikuwa na scoring chances tena ambazo wamezitengeneza, achana na zile za kukudondokea.
Then why pochtno laughed
 
Naona msimu ujao utakuwa mgumu sana sana.
Maana spurs atakuwa amejitambua,liverpool kwenye moto wake kama hatauzauza. And city on fire.
Can't imagine.

10 years ago tulikuwa sawa na spurs b4 transformation.
 
Sisi Man united fans tutahakikisha munatupiga ili kuwaweka sawa kwenye sherehe zenu za ubingwa. Ninyi ni Majirani zetu bana ..ukibeba ubingwa ni City of Manchester yote imehusika..
 
Sisi Man united fans tutahakikisha munatupiga ili kuwaweka sawa kwenye sherehe zenu za ubingwa. Ninyi ni Majirani zetu bana ..ukibeba ubingwa ni City of Manchester yote imehusika..
Unatapatapa sana mkuu...........Barcelona upo .........Manchester United upo........Cheers upo.........Tukuweke kundi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…