The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Muongezeeni de gea salary avute angalau 450000 vinginevyo atafungwa magoli ya kila namna kiunoni n. K
 
Unatapatapa sana mkuu...........Barcelona upo .........Manchester United upo........Cheers upo.........Tukuweke kundi gani.
Chelsea chama kubwa mzee baba ..Barca nipo kitambo tangu tunawatoa uefa, Uko kwengine niko kama mamluki tu ..kinachotakiwa ni nyie msibebe kombe lolote lile..
 
Majirani zetu nini kimewasibu baada ya dogo mzee kupewa mkataba?
Kocha anaogopa wachezaji sana.
Yan ukimtazama ni mtu ambae hashahili ile nafasi.

Ila man u wakimpata eriksen,dybala,na namba tisa. Mbele pale kutanoga.
Kati na nyuma pia marekebisho ya kutosha.
 
Nilishasema kila mtu ashinde game zake zote zilizobaki kuombeana dua mbaya haifanyi kazi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] maji yaliwafika puani
Tofauti na Liver sina timu nyingine ninayoitazama kwahiyo matokeo yeyote kwao hayana manufaa wala hasara upande wetu, mchawi Liver tu
 
FB_IMG_15558678145177698.jpeg
 
Back
Top Bottom