The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Zaha atamuweka nani Benchi? Zaha ni mchezaji msumbufu ambae hana End Product

Huyo Lukaku alifika bei ya Pauni milioni 75 kwa sababu ana End Product (misimu yote aliyokuwepo pale Everton Lukaku alifikisha goli 25 za ligi kila msimu). Ni matahira ambao watamnunua Zaha kwa bei ya hata pauni milioni 30
Heb mtaje mchezaji wakumuweka bench zaha utd kwa sasa
 
Nyie mna kikosi kizuri pale EPL lakini pia Man Utd nao wana kikosi kizuri

Nyie hamna Classic 9 hata mmoja ila Man Utd wanao hao Classic 9 wawili (Rashford na Lukaku) kuperform isiwe hoja ila wapo vizuri tu sema wachezaji wao wakati mgumu huu. Derby huwa hazina Underdog hata siku moja
😂😂😂😂. Ndugu yangu kweli unaongea maneno kama haya? Apa akija ata shabiki wa man u kusoma atasema unawasanifu

Numbisa
Cole Williams
ningendako
 
Zaha atamuweka nani Benchi? Zaha ni mchezaji msumbufu ambae hana End Product

Huyo Lukaku alifika bei ya Pauni milioni 75 kwa sababu ana End Product (misimu yote aliyokuwepo pale Everton Lukaku alifikisha goli 25 za ligi kila msimu). Ni matahira ambao watamnunua Zaha kwa bei ya hata pauni milioni 30
Mkuu kwa kikosi cha United cha sasa Zaha hakosi namba ata huyo Lukaku unaemuongelea kwa sasa lazima umuongelee kwa performance yake ya zamani sio sasa....

United inahitaji sana huo usumbufu wa Zaha kwa sasa
 
Ndiyo, lazima ushangae

Manchester wana Forward yenye kipaji kuliko nyinyi+Chelsea+Arsenal+Tottenham

Hata Kane mwenyewe sio Classic 9
Kwa mtazamo huu inaonyesha huhitaji mabadiliko ya wachezaji utd sio
 
Pale waongezwe Winga wa kulia(Classic 7) viungo wawili au watatu na Beki za kutosha
Aya brother
Fanyeni usajili ligi iwe na changamoto kdg.
Maana liverpool wanajitetea walishindwa kutwa ubingwa wakat ule kwakuwa mlikuwa vzr.
Tena wanasemawakashindwa kwa sabab ya arsenal wakajakuwa vzr.
Na baadae wakasema chelsea walikuja kuwa vzr.
Na sasa wanasema city tupo vzr.
Nataka changamoto ya man u ikiwa vzr
 
Kushoto unapaona papo sawa kabisa?
Alaf mkuu nikumbushe lukaku anagoli ngap?

Kushoto yupo Martial

Lukaku alipokuwa Everton alikuwa hakosi goli chini ya 25 za ligi kila msimu

Kwa takwimu hizo anaeweza kumtoa Lukaku hapo kwenye timu yenu ni Aguero tu na hakuna mwingine
 
Kushoto yupo Martial

Lukaku alipokuwa Everton alikuwa hakosi goli chini ya 25 za ligi kila msimu

Kwa takwimu hizo anaeweza kumtoa Lukaku hapo kwenye timu yenu ni Aguero tu na hakuna mwingine
Naona dakika 20 zilizopita mmefungua mazungumzo na bayern kumtaka beki wao sule
 
Kushoto yupo Martial

Lukaku alipokuwa Everton alikuwa hakosi goli chini ya 25 za ligi kila msimu

Kwa takwimu hizo anaeweza kumtoa Lukaku hapo kwenye timu yenu ni Aguero tu na hakuna mwingine
Sure ila sio kwa sasa.
Ndomana nilisikia wakat fulan mnamtaka icard
 
Uyu jamaa sijui watamzuiaje
FB_IMG_15558681180611061.jpeg
 
Back
Top Bottom