goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Heb mtaje mchezaji wakumuweka bench zaha utd kwa sasaZaha atamuweka nani Benchi? Zaha ni mchezaji msumbufu ambae hana End Product
Huyo Lukaku alifika bei ya Pauni milioni 75 kwa sababu ana End Product (misimu yote aliyokuwepo pale Everton Lukaku alifikisha goli 25 za ligi kila msimu). Ni matahira ambao watamnunua Zaha kwa bei ya hata pauni milioni 30