Mechi ya Leo naihofia kweli yani pep akizingua anapigwa
Imagine tunadraw mtakavyofurahi
Yani ni ile kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja
Mwenyezi Mungu asikie kilio chetu...ni watufunge ama tuwafungeHahaha, yaani leo utadhani nasubiri fainali ya UEFA.
Mwenyezi Mungu asikie kilio chetu...ni watufunge ama tuwafunge
Nimefikiria draw itakuwa mbaya sana kwetu na city ila tamu sana kwenu
Mwenyezi Mungu asikie kilio chetu...ni watufunge ama tuwafunge
Nimefikiria draw itakuwa mbaya sana kwetu na city ila tamu sana kwenu
Sisi dakika hii kiukweli tunawaombea mshinde ili mcheze UEFA.
Hatuna namna kabisa.
Mkuu kuimbia dhambi ni kutubuMnajipa moyo kwamba man u atawaachia eeh OGS anaitaka big4 kuliko mnavyo litaka kombe
Come on man u
Hapanaaaaaaahamna namna mkuu Man City inatakiwa apigike leo
Daah!tuna tabu sana sisi
Ila mie naelewa nichague wapi japo inauma....tufungwe tuHii Derby ni once in a lifetime, yaani washabiki wanajikuta hawaelewi wachague upande upi.
Safi sana.
Kazi kubwa ya kuchagua upande ni LiverpoolHii Derby ni once in a lifetime, yaani washabiki wanajikuta hawaelewi wachague upande upi.
Safi sana.
Ila mie naelewa nichague wapi japo inauma....tufungwe tu
Wewe msimamo wako naufahamu, ila najua moyoni unatamani ushindi.
Hapana
Tukifungwa tutafurahi zaidi
Hapanaaaaaaa
City damuuuuuMkuu wewe ni City au United?
City damuuuuu
Leo Man City inatakiwa apigwe yaani