Mkuu Hivi sauti haikukauki kweli,maana naonaga upogo mwenyewe tu yani humu unayetetea chama lako.....Hongera kwa kuongoza goli mojaTough game.
Jamaa wanalinda sanaa,hawatak ata kusogea
Tatizo mm natim moja tu.Mkuu Hivi sauti haikukauki kweli,maana naonaga upogo mwenyewe tu yani humu unayetetea chama lako.....Hongera kwa kuongoza goli moja
Hahahhaha hamna jinsiSafi sn.Sie man u tunataka majiran mchukue ubingwa na si wakina Fulani.
Wolves anasubiri mtu atakoma!!!
Hawa Burnley walidhamiria kututibulia..!14 blocked shots
That's sureHawa Burnley walidhamiria kututibulia..!
Ila mkongwe unajitahidi sana kuufanya huu uzi uendelee kupumua..!That's sure
AiseeTatizo mm natim moja tu.
Wengine wanazaidi ya moja