The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Thank goodness!

Ningeambia nini Liver [emoji23][emoji3]
Yaani hawa mdogo utadhani walikuwa wameahidiwa bia za nusu bei wasipofungwa mi nililala kwa muda maana mapigo ya moyo yali change walau sasa nimerudi kwa upya.
 
Yani Burnley nawafananishaga na everton kwa unoko
 
Yaani hawa mdogo utadhani walikuwa wameahidiwa bia za nusu bei wasipofungwa mi nililala kwa muda maana mapigo ya moyo yali change walau sasa nimerudi kwa upya.
Hahha.
Mkuu mm nilifatilia ilipofika 60' nikaacha kwanza
 
Hii game ilikuwa inajadiliwa zaidi uzi wa liverpool kuliko humu
 
Back
Top Bottom