21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Mwisho wa msimu tutapokea washabiki wengi zaidiIla mkongwe unajitahidi sana kuufanya huu uzi uendelee kupumua..!
kutoka wapi?Mwisho wa msimu tutapokea washabiki wengi zaidi
Kutoka Arsenal na kwengineko..!kutoka wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ee Mungu saidia city
Burnley acheni ujinga basi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
City bingwa ata usijipe preshaThank goodness!
Ningeambia nini Liver [emoji23][emoji3]
Yaani hawa mdogo utadhani walikuwa wameahidiwa bia za nusu bei wasipofungwa mi nililala kwa muda maana mapigo ya moyo yali change walau sasa nimerudi kwa upya.Thank goodness!
Ningeambia nini Liver [emoji23][emoji3]
Yani Burnley nawafananishaga na everton kwa unokoYaani hawa mdogo utadhani walikuwa wameahidiwa bia za nusu bei wasipofungwa mi nililala kwa muda maana mapigo ya moyo yali change walau sasa nimerudi kwa upya.
Sasa hakuna team yakutupa kipima joto tena.City bingwa ata usijipe presha
HahahhahhaThank goodness!
Ningeambia nini Liver [emoji23][emoji3]
Arsenal.kutoka wapi?
Hehehe ni kweliKutoka Arsenal na kwengineko..!
Timu nyingi zinajilinda sana zikicheza na city.City bingwa ata usijipe presha
Hahha.Yaani hawa mdogo utadhani walikuwa wameahidiwa bia za nusu bei wasipofungwa mi nililala kwa muda maana mapigo ya moyo yali change walau sasa nimerudi kwa upya.
Thats sure.Yani Burnley nawafananishaga na everton kwa unoko