Ila bora yake kuliko sanchez itakavyokuwaSo sad
Ubaya zaidi hastaaf msimu huu wala ujao wala wa kesho kutwa.Hafai
Hahaha jamaa alikuwa anaakili sana ya kumkimbia messi kama uliangalia vzr
Hakuna maajabu tena hapo jamaa wajipange upyaSecond leg ndo inatisha maana messi lazma apate goli.
Kitu kitakachowalazim liver kufunga goli 5 ili wa pite.
Haha aibu kubwa ila afanyeje sasa
Masikini klopp.Hakuna maajabu tena hapo jamaa wajipange upya
Upo sahihi kabiaa mkuu.ndugu zangu naona msimu huu ndo unaenda tamati na sisi kama mashabiki wa the cityzen or blue moon ni wakati wa kutafuta mchezaji wetu bora wa klabu na tumpe heshima hiyo
Mimi ni wachezaji wangu watatu 1. rahim sterling
Nadhani hata ninyi mnajua kazi yake vizuri hasa kwenye ile first eleven yetu matata kabisa 2.bernado silva
kijana wetu nae tumpe nafasi hiyo maana msimu huu mashabiki wa etihad wanajua nini kafanya especially wa man united pia 3.kyle walker
daa huyu jamaa kwa england sijaona namba kama hii kwenye timu zote sijui ila daa huyu ni noma
Na nyinyi mitazamo yenu ruksa wazee
cityzen chairman am here
bado mda liver anaeza shinda dk za kuku, japo siangalii mpira63' 2:2
Anything can happenbado mda liver anaeza shinda dk za kuku, japo siangalii mpira
nilikuambia mkuu liver dk za mwisho tuSalah injured du saf ila
Acha kushabikia injury bana, sio poa.Salah injured du saf ila