The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hahaha jamaa alikuwa anaakili sana ya kumkimbia messi kama uliangalia vzr
 
Second leg ndo inatisha maana messi lazma apate goli.
Kitu kitakachowalazim liver kufunga goli 5 ili wa pite.
 
Hahaha jamaa alikuwa anaakili sana ya kumkimbia messi kama uliangalia vzr
20190502_203126.png
 
ndugu zangu naona msimu huu ndo unaenda tamati na sisi kama mashabiki wa the cityzen or blue moon ni wakati wa kutafuta mchezaji wetu bora wa klabu na tumpe heshima hiyo
Mimi ni wachezaji wangu watatu 1. rahim sterling
Nadhani hata ninyi mnajua kazi yake vizuri hasa kwenye ile first eleven yetu matata kabisa 2.bernado silva
kijana wetu nae tumpe nafasi hiyo maana msimu huu mashabiki wa etihad wanajua nini kafanya especially wa man united pia 3.kyle walker
daa huyu jamaa kwa england sijaona namba kama hii kwenye timu zote sijui ila daa huyu ni noma
Na nyinyi mitazamo yenu ruksa wazee
cityzen chairman am here
 
Upo sahihi kabiaa mkuu.
Hao wapo vzr sana kwa sasa.
Japo laporte mwishon amepungua kdg
 
Back
Top Bottom