AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Asante mkuuWadau tusikokuwa na DSTV link ya live streaming hii hapo chini wana
https://worldoffootball360.blogspot.com/2019/05/Man-City-Vs-Leicester-City-live-streaming.html
23 games alizoanza city wameshinda zoteZinchenko akishakua uwanjani nakuaga na amani sana
Sielewi kbisaBado naona mi pichapicha tu.
Pep amekaa kusikiliza vyombl vya habari vya england.Foden ni nani
Yeah jamaa anajituma sana.Jitihada za Bernardo next zitazaa matunda
Utakaa kimya mwenyeweHali ya hewa inachafuka hapa leo (nimetabiri) sio kudraw tu mtafungwaaa
Hali ya hewa inachafuka hapa leo (nimetabiri) sio kudraw tu mtafungwaaa
Surely.Foden mzur lkn si kwa hii mechi.
Nadhan kuna umuhim sana wa kuwa na Debryne