The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bruno fernandes anaweza kucheza msimu ujao.
Naona sijui wanataka wamuuze gundogan!.
Ila uyu bruno ni mtam.
 
Hii mech dk 40 za mwanzo inatakiwa mmeshamalizana nao..mnasubir 90 mins
Ngumu kuwa draw apa nasubiri line ups,
Mchawi wetu ni vardy leo.
Ila ushindi lazima.
Ubaya pale tutakapokosa goli mpaka 70' apo pressure inakuwa kubwa sana
 
IMG_20190506_210423_063.JPG
 
ndugu zangu naona msimu huu ndo unaenda tamati na sisi kama mashabiki wa the cityzen or blue moon ni wakati wa kutafuta mchezaji wetu bora wa klabu na tumpe heshima hiyo
Mimi ni wachezaji wangu watatu 1. rahim sterling
Nadhani hata ninyi mnajua kazi yake vizuri hasa kwenye ile first eleven yetu matata kabisa 2.bernado silva
kijana wetu nae tumpe nafasi hiyo maana msimu huu mashabiki wa etihad wanajua nini kafanya especially wa man united pia 3.kyle walker
daa huyu jamaa kwa england sijaona namba kama hii kwenye timu zote sijui ila daa huyu ni noma
Na nyinyi mitazamo yenu ruksa wazee
cityzen chairman am here
Naungana na wewe
 
Back
Top Bottom