Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu kuwa draw apa nasubiri line ups,hii game ni draw
Ngumu kuwa draw apa nasubiri line ups,
Mchawi wetu ni vardy leo.
Ila ushindi lazima.
Ubaya pale tutakapokosa goli mpaka 70' apo pressure inakuwa kubwa sana
Apa kwa david silva na foden namashaka nako sana.
Foden wa nn humu bhana
Apo naona kazingua kwel leo.Foden wa nn humu bhana
Naungana na wewendugu zangu naona msimu huu ndo unaenda tamati na sisi kama mashabiki wa the cityzen or blue moon ni wakati wa kutafuta mchezaji wetu bora wa klabu na tumpe heshima hiyo
Mimi ni wachezaji wangu watatu 1. rahim sterling
Nadhani hata ninyi mnajua kazi yake vizuri hasa kwenye ile first eleven yetu matata kabisa 2.bernado silva
kijana wetu nae tumpe nafasi hiyo maana msimu huu mashabiki wa etihad wanajua nini kafanya especially wa man united pia 3.kyle walker
daa huyu jamaa kwa england sijaona namba kama hii kwenye timu zote sijui ila daa huyu ni noma
Na nyinyi mitazamo yenu ruksa wazee
cityzen chairman am here
Mapema sana mzeee babaShughuli iko hapa leo, ubingwa unaamuliwa leo
Wasi wasi wa nini sasa hapa mkuu?