Dah mie hadi mpira uishe ndio nitaamini
Nina wenge kinyamaàaaaaaa
Nakwambia goli la kwanza lilivyoingia nimelia
#sijuikwanininaionacomebackyapursvsajax
😂😂😂 kweli bora uwe hivyoMimi nimeamini mapema ili isiniumize.
Nashindwa aseeeNilikwambia punguza ushabiki wa hivyo.
😂😂😂 kweli bora uwe hivyo
Nashindwa aseee
Hadi mechi iishe sina sauti hakyanani
Pole aisee, na hapo ni against Liverpool! Sipati picha ingekuwa Man Utd anahusika.
Kwahili tuko pamojaMe man u Ila nataka city ashinde,man u afungwe tu huko tena sn
#ushindwe#sijuikwanininaionacomebackyapursvsajax
Can't imagine!
Ningeenda kuangalizia kibandani kwa mara ya kwanza ili nishout hadi mwisho