Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefurahi mchumba wako amerudisha!
Kingenuka hapaa
That's my baby😍🤗🤗
Yani leo natype huku naruka ruka 😂😂😂
Mama leo nimeogopa kuangalia ata mechi, roho inaniuma sana mpk najuta kwann niliupenda mpira?Gooooooooaaaalllll
Mie niko huku kiroho ila kimwili niko kule 😂😂😂Sawa hana, naona umechagua kuside na adui-jirani.
Naona naona naona
Nakwambia goli la kwanza lilivyoingia nimeliaMama leo nimeogopa kuangalia ata mechi, roho inaniuma sana mpk najuta kwann niliupenda mpira?
Mie niko huku kiroho ila kimwili niko kule 😂😂😂
Kwanza naona tushapigwa kimoja
Chumaaa
Hahahha we acha tuMama leo nimeogopa kuangalia ata mechi, roho inaniuma sana mpk najuta kwann niliupenda mpira?
Najua ni vile huna namna.
City apewe tu kombe lake halftime.