interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Mwakani namtafuta tena mpinzani wa man city.Hongereni sana Wajomba wa Libaguzi kuu la rangi "PEP KIPARA" kwa kutwaa ubingwa wa EPL.
TAHADHARI:
Mwakani hakuna kujirusha ktk penalty box kutafuta penati kama alivyokuwa akifanya Kiduku"Raheem Sterling" 7bu VAR itaanza kutumika rasmi ktk EPL.
Mwakani namtafuta tena mpinzani wa man city.
Maana yeye yupo tu na ubora wake kwa EPL.
Kwa hiyo unataka kusema wapinzan wetu wa mwaka huu ndiyo watakuwa bora msimu ujao? Thubutu.Mwaka huu mmeponea kwenye tundu la sindano chupu chupu maana sidhani ni ubingwa wa kujisifia saaaana ikiwa aliyemuacha anamzidi poiti 1 tu japo mnastahili pongezi kwa kutwaa ubingwa
Kwa hiyo unataka kusema wapinzan wetu wa mwaka huu ndiyo watakuwa bora msimu ujao? Thubutu.
Wawe makin maana Klop na final anallerg nazo.
For sure hatuachi tena kitu.FA
Calabao
Epl
Haya yote ya guardiola
ukishashindwa lazima ulalamike tu, Kiufupi hata Pep anataka VAR. na anachukua tena. hakuna kama Pep, amechukua hapo na bayern vikombe 3, Barcelona 3 na hapa amechukuwa 2 bila kupumzika. anastahili sifa zake acheni unafiki.Kwa taarifa yako City ya mwaka huu ndiyo mbovu kweli kuliko ile ya 2018, Pep na michezaji imetumia uzoefu mwingi na kuna baadhi ya mechi kama 2 hv raundi ya pili City alibebwa kwa penati za kijinga.
Ndiyomaana ktk kuwapatia pongezi zote nimeweka msisitizo kuwa mwakani kutakuwa na VAR ili kuepusha hizo mbeleko zinazoathiri ubora wa EPL.
Tunabeba na chenyewe. Kuna watu wanaumia sana city anaposhinda. sasa wao kwann hawakushinda zote wakawa nao mabingwa?Tuna game moja na watford jumamosi
ukishashindwa lazima ulalamike tu, Kiufupi hata Pep anataka VAR. na anachukua tena. hakuna kama Pep, amechukua hapo na bayern vikombe 3, Barcelona 3 na hapa amechukuwa 2 bila kupumzika. anastahili sifa zake acheni unafiki.
Unajitahd tu kutoa mishipa ila Pep unamjuwa vema.Kwa taarifa yako City ya mwaka huu ndiyo mbovu kweli kuliko ile ya 2018, Pep na michezaji imetumia uzoefu mwingi na kuna baadhi ya mechi kama 2 hv raundi ya pili City alibebwa kwa penati za kijinga.
Ndiyomaana ktk kuwapatia pongezi zote nimeweka msisitizo kuwa mwakani kutakuwa na VAR ili kuepusha hizo mbeleko zinazoathiri ubora wa EPL.
Ushindi wa14 mfululizo.Tunabeba na chenyewe. Kuna watu wanaumia sana city anaposhinda. sasa wao kwann hawakushinda zote wakawa nao mabingwa?
Kama kawaidaNext season tena
Wew chukua UEFA yako kila mmoja apige hesabu zake.Hana lolote zaidi ya mahaba yako tu, Kocha yupi aliyeilamikia VAR sana ktk UEFA zaidi ya PEP KIPARA[emoji848][emoji23]
Mahaba ni ugonjwa mbaya sana kwa anayejielewa kiakili[emoji1787]
Unajitahd tu kutoa mishipa ila Pep unamjuwa vema.
Msimu ujao tunakuja kivingine na hutoamini.
Kila mwaka mtaishia kujipanga.
Trh 18 city ana final ingine.
Kijiba cha roho,Hana lolote zaidi ya mahaba yako tu, Kocha yupi aliyeilamikia VAR sana ktk UEFA zaidi ya PEP KIPARA[emoji848][emoji23]
Mahaba ni ugonjwa mbaya sana kwa anayejielewa kiakili[emoji1787]