interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Hongereni sana Wajomba wa Libaguzi kuu la rangi "PEP KIPARA" kwa kutwaa ubingwa wa EPL.
TAHADHARI:
Mwakani hakuna kujirusha ktk penalty box kutafuta penati kama alivyokuwa akifanya Kiduku"Raheem Sterling" 7bu VAR itaanza kutumika rasmi ktk EPL.