The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

kumbe timu mbovu kama man city ina mashabiki? man city ni small team toka wafungwe na spurs uefa nimewadharau sana
 
Sidhani kama gabriel ataondoka.
Maana kupata namba 9 ilivyo kazi alafu uuze foward upate mido.
Wao nilisikia wanamtaka lacazete.
 
Kuhusu beki wakati mm pia sijaona umuhimu kiasi hicho.
Izo tetesi tutamsikia pep kwenye press labda .
Gabby namuelewa sana na sidhan kama anampango wakuondoka wakati anajua kum hana muda sana yeye atachukua mikoba.
 
Kuna uwezekano mkubwa sana Bernardo Silva ndio akawa Captain ajaye wa Man City, lakini hiyo itatokea mara baada ya David Silva kuondoka..!
Kama David Silva ataendelea kuwepo mpaka msimu ujao,basi ndio atakuwa Captain wetu..!
Kwaio kwa long term unaona ni BS.
Ila nikimcheli KDB anahalifulan amejiwekea kama captaim
 
Kwaio kwa long term unaona ni BS.
Ila nikimcheli KDB anahalifulan amejiwekea kama captaim
Fuatilia vyema kwasasa ni mchezaji gani anapendwa sana pale viunga vya Etihad, kuanzia na management mpaka na wachezaji wenzake...
 
Ukiangalia stats kwenye epl site. Utaona shots per goal gabby anaconvertion ratio kubwa ya 16% 43 shots magoli 7. Analingana na harry kane better than salah, pia amemzidi kun. Amezidiwa na auba pekee ambae ana 23%..
Na hapo huwa anaingia sub sanasana kwa timu ambazo zishapaki basi.
Dogo haondoki
 
kumbe timu mbovu kama man city ina mashabiki? man city ni small team toka wafungwe na spurs uefa nimewadharau sana
Ni timu ndogo na mbovu..!
Lakini katika kipindi cha miaka kumi (10) imechukua mataji yafuatayo:
1) EPL mara NNE
2) FA Cup mara MBILI
3) Kombe la ligi mara NNE
4) Ngao ya jamii mara MBILI
Hayo ndio mataji yaliyochukuliwa na timu mbovu,katika kipindi cha miaka kumi iliyopita..!
Ebu tuwekee rekodi ya timu yako nzuri na bora kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita,ili tuilinganishe na hii ya timu mbovu..!
 
Hawezi kuweka.
Kwasababu mara ya mwisho imechukua ata ligi yeye alikuwa hajazaliwa.
 
Gabby atakapopewa mikoba ya kun rasmi naona ataweka record yake.
Kwa sub tu alizofanyiwa uefa kaondoka na goli 4.
Epl 7.
Bado kombe nyengineo.
Msimu ujao naona akipata nafasi zaidi za kucheza na kumpokea rasmi kun msimu wa 2010/2021.
 
Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita timu imebeba mataji zaidi ya 10,sasa kama timu Hii haistahili kuwa na mashabiki ni timu gani inastahili kuwa na mashabiki..?
Tangu mwaka 2011 haijawahi kuwa nje ya top 4 katika Ligi kuu ya Uingereza...
Ukishangaa timu hii kuwa na mashabiki ni lazima ubongo wako utakuwa haufanyi kazi sawasawa..!
 
Jana kulikuwa na champions parade walirusha live youtube.
 
Jealous.
Hana lolote.
Wanamchukia pep sana na hawana chakushindana wanasubiri aondoke. Inasikitisha.
Na next season itakuwa balaa maana tulipata tabu sana kwa majeruhi msimu huu,wacha tusign waipate vzr.
 
Hivi mtu kama rashford wanampa offer ya £300k per week kwa performance ipi aliyonayo. Sterling,aguero,KDB, benardo wanalipwa less than that(£230k) ila ona mbungi wanalopiga.
Na offer ya £15k per goal kama sikosei ni kumfanya awe mnoko zaidi,kwa utumbo kama huu city tutafukuzwa na liverpool pekee.
 
Jealous.
Hana lolote.
Wanamchukia pep sana na hawana chakushindana wanasubiri aondoke. Inasikitisha.
Na next season itakuwa balaa maana tulipata tabu sana kwa majeruhi msimu huu,wacha tusign waipate vzr.
Ahahaaaah...
Watasubiri mpaka Pep asepe...
Watasubiri sana..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…