Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
kumbe timu mbovu kama man city ina mashabiki? man city ni small team toka wafungwe na spurs uefa nimewadharau sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama gabriel ataondoka.Kuna habari naona inapitapita kwa mitandao kuwa Man City wanataka kumtoa Gabby Jesus kwa Atletico Madrid ili waweze kumpata Rodri..!
Aisee,hii ni biashara kichaa kabisa..!
Umri wa Aguero umekwenda,Gabby sio mchezaji wa kuuza kabisa..!
Kama wanahitaji huduma ya Rodri walipe hiyo release clause wampate..!
Pia nimesikia klabu inamgombea De Ligt,pia nimesikia inataka kumsajili Maguire...
Aisee, I hope hizo zote ni tetesi tu,coz siamini kuwa Man City ina uhitaji mkubwa sana wa beki wa kati...
Ndio,Kompany anaondoka,lakini Bado klabu ina wachezaji wazuri tu wa kuziba nafasi yake..!
Kuhusu beki wakati mm pia sijaona umuhimu kiasi hicho.Kuna habari naona inapitapita kwa mitandao kuwa Man City wanataka kumtoa Gabby Jesus kwa Atletico Madrid ili waweze kumpata Rodri..!
Aisee,hii ni biashara kichaa kabisa..!
Umri wa Aguero umekwenda,Gabby sio mchezaji wa kuuza kabisa..!
Kama wanahitaji huduma ya Rodri walipe hiyo release clause wampate..!
Pia nimesikia klabu inamgombea De Ligt,pia nimesikia inataka kumsajili Maguire...
Aisee, I hope hizo zote ni tetesi tu,coz siamini kuwa Man City ina uhitaji mkubwa sana wa beki wa kati...
Ndio,Kompany anaondoka,lakini Bado klabu ina wachezaji wazuri tu wa kuziba nafasi yake..!
Kwaio kwa long term unaona ni BS.Kuna uwezekano mkubwa sana Bernardo Silva ndio akawa Captain ajaye wa Man City, lakini hiyo itatokea mara baada ya David Silva kuondoka..!
Kama David Silva ataendelea kuwepo mpaka msimu ujao,basi ndio atakuwa Captain wetu..!
Juve,madrid,barcelona,psg,piaJiandae kuwadharau na liverpool.kumbe timu mbovu kama man city ina mashabiki? man city ni small team toka wafungwe na spurs uefa nimewadharau sana
Fuatilia vyema kwasasa ni mchezaji gani anapendwa sana pale viunga vya Etihad, kuanzia na management mpaka na wachezaji wenzake...Kwaio kwa long term unaona ni BS.
Ila nikimcheli KDB anahalifulan amejiwekea kama captaim
Bernado anajituma sana kuliko wote pale city.Fuatilia vyema kwasasa ni mchezaji gani anapendwa sana pale viunga vya Etihad, kuanzia na management mpaka na wachezaji wenzake...
Ni timu ndogo na mbovu..!kumbe timu mbovu kama man city ina mashabiki? man city ni small team toka wafungwe na spurs uefa nimewadharau sana
Hawezi kuweka.Ni timu ndogo na mbovu..!
Lakini katika kipindi cha miaka kumi (10) imechukua mataji yafuatayo:
1) EPL mara NNE
2) FA Cup mara MBILI
3) Kombe la ligi mara NNE
4) Ngao ya jamii mara MBILI
Hayo ndio mataji yaliyochukuliwa na timu mbovu,katika kipindi cha miaka kumi iliyopita..!
Ebu tuwekee rekodi ya timu yako nzuri na bora kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita,ili tuilinganishe na hii ya timu mbovu..!
Ahahaaaah...Hawezi kuweka.
Kwasababu mara ya mwisho imechukua ata ligi yeye alikuwa hajazaliwa.
Jealous.Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita timu imebeba mataji zaidi ya 10,sasa kama timu Hii haistahili kuwa na mashabiki ni timu gani inastahili kuwa na mashabiki..?
Tangu mwaka 2011 haijawahi kuwa nje ya top 4 katika Ligi kuu ya Uingereza...
Ukishangaa timu hii kuwa na mashabiki ni lazima ubongo wako utakuwa haufanyi kazi sawasawa..!
Ahahaaaah...Jealous.
Hana lolote.
Wanamchukia pep sana na hawana chakushindana wanasubiri aondoke. Inasikitisha.
Na next season itakuwa balaa maana tulipata tabu sana kwa majeruhi msimu huu,wacha tusign waipate vzr.