I’d rather win one UCL crown in 100 years than a bunch of Mickey Mouse cups in a year. We are the champ of all champions in Europe including EPL
Kwake yeye Guardiola na management ya team inaweza kuwa useless..!Hata Leicester City alishinda EPL. Cha ajabu ni kipi?
Hata Pep kwa maneno yake mwenyewe keshasema winning EPL without UCL is useless
Ahahaaaah..!I’d rather win one UCL crown in 100 years than a bunch of Mickey Mouse cups in a year. We are the champ of all champions in Europe including EPL
Mchezaji wako akilia baada ya kukosa mickey mouse trophy..!I’d rather win one UCL crown in 100 years than a bunch of Mickey Mouse cups in a year. We are the champ of all champions in Europe including EPL
Hivi man city kumbe hajui hataa utamu wa champions league?haijawahi chukua kabisa toka ianzishwe.daaah,inabidi wawapigiee salute Nottingham forest kwa heshima kubwa sana.UCL champion ni bingwa wa mabingwa wa ligi zote za Europe including La Liga and EPL.
Hizo Carabao, FA na EPL chukueni na mfurahi tu.
By the way kuanzia msimu ujao kuna VAR na nyie hamshindi mashindano yoyote yenye VAR.
Hata Pep kwa sasa anaiota tu hii ndoo
Mimi nahisi haujui kusoma vizuri chief..!
Nimekujibu kuwa tutachukua UEFA "MUDA UKIFIKA"
Pia nimekuuliza na nyie mtachukua TENA kombe la EPL lini..!?
Sijakuambia hamjawahi kuchukua kombe la ligi kuu ya Uingereza,najua mlishachukua zaidi ya mara 10...
Ndio Maana nimekuuliza mtachukua TENA lini..?
Picha inasema kuliko mashabiki wa LiverpoolMchezaji wako akilia baada ya kukosa mickey mouse trophy..!
Au labda wakati tukio hili la kusisimua linatokea ulikuwa bado haujawa shabiki wa Liverpool..!
View attachment 1117109View attachment 1117111
Chief,kumbuka kuwa ukimuona mtoto wa kiume anamwaga chozi ujue sio jambo dogo..!
Sijakubishia kuhusu uchanga wa Man City...Timu yenu changa mno mafanikio yake Ulaya ni kufika nusu fainali ya UEFA, Man U, Liverpool na Chelsea ndo zina history
Chief,hiyo ni shibe ya KANDE inamfanya anacheua tu PUMBA..!Picha inasema kuliko mashabiki wa Liverpool
Mmeshiriki uefa nyingi kuliko city alizoshiriki kwaio sishangaiMtaliota tu hili kombe View attachment 1114705
Hongeren sana mlistahili
Ubaya var itawaathiri sana nyinyiKaeni na Carabao na FA na EPL zenu lakini UCL mtaiota tu
Kumbuka msimu ujao kuna VAR
View attachment 1114743
Aya bwanaWana ubavu wa kushinda UCL hawa. Na mausajili yote hayo wanatolewa na tott [emoji23] [emoji23]
Naona mnaringisha kweliMchana mwema wajemeniView attachment 1115027
Hatuna mda sana.Nyie Ubingwa wa Ulaya mtachukua lini?
Kwa sasa macho yote ya city ni uefa.UCL champion ni bingwa wa mabingwa wa ligi zote za Europe including La Liga and EPL.
Hizo Carabao, FA na EPL chukueni na mfurahi tu.
By the way kuanzia msimu ujao kuna VAR na nyie hamshindi mashindano yoyote yenye VAR.
Hata Pep kwa sasa anaiota tu hii ndoo
Ni kweli.Baadhi washabiki wa team inayochukua ubingwa mara Moja kwa miaka kumi matatizo yenu makubwa nani kakwambia UCL wanaoshiriki ni mabingwa? Liverpool alikuwa bingwa wa nchi gani akashiriki UCL? Lyon? Man Utd?
Hatuna mda sana.
Naona msimu ujao hv
Madrid na bayern hawawez kuwa moto ghafla itawachukua ata misimu mi 2/3 wakae sawa tena.Huo msimu ujao Real Madrid na Bayern Munich wako moto hii decade haijatokea
Kumbuka mashabiki wa liverpool wanaitaka epl kuliko uefa.