The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

What a new slogan from historic old fashioned team, "I would rather" this is losing mentality wake up, we will see you after 10 years
I’d rather win one UCL crown in 100 years than a bunch of Mickey Mouse cups in a year. We are the champ of all champions in Europe including EPL
 
Hata Leicester City alishinda EPL. Cha ajabu ni kipi?
Hata Pep kwa maneno yake mwenyewe keshasema winning EPL without UCL is useless
Kwake yeye Guardiola na management ya team inaweza kuwa useless..!
Ila kwa mashabiki wa Man City winning EPL is not useless,ni jambo kubwa mno..!
Kwa Mashabiki wa Man City every trophy counts..!!!
Upo sahihi upande wako kwa kutokuona cha ajabu timu kushinda EPL,wala siwezi kukubishia...
Nikukumbushe tu hata Nottingham Forest Na Aston Vila pia wameshawahi kuwa mabingwa wa hiyo UEFA,kwahiyo hata mimi sioni cha ajabu pia kuwa bingwa wa UEFA..!
Oooh,hata Spurs angeweza kuwa bingwa wa UEFA,sioni cha Ajabu..!
 
I’d rather win one UCL crown in 100 years than a bunch of Mickey Mouse cups in a year. We are the champ of all champions in Europe including EPL
Ahahaaaah..!
Every trophy counts ndugu..!
Haya maneno yako ni kutaka kujifariji tu..!
Kila shabiki wa Liverpool (kasoro wewe) anatamani kuiona Liverpool ikishinda EPL...
Kila Legend wa Liverpool anatamani kuiona Liverpool inabeba ubingwa wa EPL..!
Tena kuna wapenzi wengine wa Liverpool walikuwa wanatamani kushinda EPL kuliko UEFA..!
Wachezaji wa Liverpool walishawahi kudondosha machozi uwanjani kwa sababu ya kukosa mickey mouse trophy,wewe Mtanganyika unaleta dharau huku jukwaani..!
 
I’d rather win one UCL crown in 100 years than a bunch of Mickey Mouse cups in a year. We are the champ of all champions in Europe including EPL
Mchezaji wako akilia baada ya kukosa mickey mouse trophy..!
Au labda wakati tukio hili la kusisimua linatokea ulikuwa bado haujawa shabiki wa Liverpool..!

article-2620881-1D97B1CC00000578-473_634x488.jpg
106711.jpg


Chief,kumbuka kuwa ukimuona mtoto wa kiume anamwaga chozi ujue sio jambo dogo..!
 
UCL champion ni bingwa wa mabingwa wa ligi zote za Europe including La Liga and EPL.
Hizo Carabao, FA na EPL chukueni na mfurahi tu.
By the way kuanzia msimu ujao kuna VAR na nyie hamshindi mashindano yoyote yenye VAR.
Hata Pep kwa sasa anaiota tu hii ndoo
Hivi man city kumbe hajui hataa utamu wa champions league?haijawahi chukua kabisa toka ianzishwe.daaah,inabidi wawapigiee salute Nottingham forest kwa heshima kubwa sana.
 
Mimi nahisi haujui kusoma vizuri chief..!
Nimekujibu kuwa tutachukua UEFA "MUDA UKIFIKA"
Pia nimekuuliza na nyie mtachukua TENA kombe la EPL lini..!?
Sijakuambia hamjawahi kuchukua kombe la ligi kuu ya Uingereza,najua mlishachukua zaidi ya mara 10...
Ndio Maana nimekuuliza mtachukua TENA lini..?


Timu yenu changa mno mafanikio yake Ulaya ni kufika nusu fainali ya UEFA, Man U, Liverpool na Chelsea ndo zina history
 
Timu yenu changa mno mafanikio yake Ulaya ni kufika nusu fainali ya UEFA, Man U, Liverpool na Chelsea ndo zina history
Sijakubishia kuhusu uchanga wa Man City...
But at the moment,Man City is one of the best teams in the World..!
Hiyo UEFA ikifika muda ataibeba tu...
Kwani Chelsea amebeba UEFA ngapi chief..?
Man Utd&Liverpool have history,Man City is creating it's own version of history..!
Kwasasa nafurahia kuiona Man City ikitengeneza historia,ni raha sana kuishuhudia timu yako ikitengeneza historia kuliko kusoma historia ya timu yako kwenye mitandao..!
Hiyo UEFA ambayo unaizungumzia tutaibeba tu muda wa kufanya hivyo ukifika...
Tena nikwambie tu,as long as Man City anaendelea kubeba vikombe kila msimu,ndivyo anavyoendelea kutengeneza hiyo historia unayoizungumzia..!
Nikwambie tu,ndani ya miaka 10 iliyopita Man City imebeba zaidi ya makombe 10..!
Pia usisahau,HAKUNA UBINGWA/KIKOMBE KIDOGO,ukizungumzia mafanikio ya timu unataja vikombe vyote ambavyo imewahi kuchukua..!

MWISHO: Nafurahi kuwa shabiki wa Man City kwa wakati huu,kwasababu nashuhudia timu changa ikijitengenezea historia yake ya kipekee kabisa..!
Na huo ubingwa wa UEFA utabebwa tu muda ukifika..!
 
Picha inasema kuliko mashabiki wa Liverpool
Chief,hiyo ni shibe ya KANDE inamfanya anacheua tu PUMBA..!
Huyo bwana sio shabiki wa mpira wa miguu,anavutiwa tu na mpira wa miguu,anafuatilia mpira kupitia mitandao ya kijamii na siku mojamoja akibishana na watu kuhusu football anaingia mtandaoni kufanya upekuzi (Google search),usiombe ukutane na watu wa aina yake kwenye mada zinazohusiana na kandanda..!
Ahahaaaah..!!!
Hakuna shabiki wa mpira wa miguu duniani ambaye anaweza kusema EPL trophy ni mickey mouse trophy,hakuna..!
 
UCL champion ni bingwa wa mabingwa wa ligi zote za Europe including La Liga and EPL.
Hizo Carabao, FA na EPL chukueni na mfurahi tu.
By the way kuanzia msimu ujao kuna VAR na nyie hamshindi mashindano yoyote yenye VAR.
Hata Pep kwa sasa anaiota tu hii ndoo
Kwa sasa macho yote ya city ni uefa.
Maana pale england tushaweka rikondi za kutosha .
 
Baadhi washabiki wa team inayochukua ubingwa mara Moja kwa miaka kumi matatizo yenu makubwa nani kakwambia UCL wanaoshiriki ni mabingwa? Liverpool alikuwa bingwa wa nchi gani akashiriki UCL? Lyon? Man Utd?
Ni kweli.
Uefa ni kombe la ajab sana
 
Huo msimu ujao Real Madrid na Bayern Munich wako moto hii decade haijatokea
Madrid na bayern hawawez kuwa moto ghafla itawachukua ata misimu mi 2/3 wakae sawa tena.
Na pia kwa sasa ni kazi sana
 
Back
Top Bottom