The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Naona kama jesus hata improve sana.
Kuna hatihati sterling kuicheza namba 9
 
Adrian bernabe.
Zao la academy.
Nazan anaweza kuliko midfield zote za westham
 
Pep Guardiola on Rodrigo: "He is a young, typical defensive midfielder who thinks very quickly. I hope he is here for a long time. Rodrigo is tall, which for a short side like ours is very good. He is great at set-pieces but we didn't buy him for that."

"Ever since we arrived here we have tried to buy players who are 21, 22 or 23 years old. [Rodri] is a Spain national team player and there they call him 'the next Busquets'. I think he is a very good player." [via @goal]
 
FIFA HAVE CONSIDER TO CHANGE THE FFP RULES THAT AFFECTS MANCHESTER CITY,AND MANCHESTER UNITED.


Naona jamaa wameona wazi kwamba sheria zao zinafanya clubs ziendeshwe kwa hasara makadirio €1b kwa mwaka.
Inasemekana mabadiliko ayo yata i favour real,barca,psg,utd na city kwa ujumla kwenye re-investment zao
 
Mendy hayupo mechi za kwanza tano za EPL

Angelino tutamwona
Yeah. Wamemfanyia upasuaji anasema goti lilikuwa linawasha baada ya mazoezi,wame mresurgery kumuweka fiti kabisa.
Wanasema atarudi game ya away na norwich.
Zinchenko >Angelino
 
Kwa mara nyingine tena MAHREZ kamaliza mbele ya Mane
 
Wooh...
I think this third kit concept is Pep's idea...
It's like I am watching Barcelona game here..!
Sure.
Na sijui ndo ina gundu la barca.
Maana we miss 4 penalties
Shame for the professional team
 
Jamaa walipaki basi.
Angelino bado kwa kweli.
RODRI mzuri sana kuusoma mchezo,header zote ni pasi,physique.
Danilo anaweza kuwa 3rd choice CD.
Bravo briliant.

Sterling,silva,gundogan,nmecha wote wamechoma penalties.

Adrian bernabe mtam sana na mwenzake.
Ila huyu nmecha hana nafasi kwa pale city .
Rodri kweli ni Busquet type.
93℅ passing acc...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…