Anakuwaje bingwa wa ulaya wakati hakucheza na bingwa wa italy,wala bingwa wa england,wala bingwa wa netherland,
Timu imeshindwa kuwa bingwa wa ligi yake itakuwaje bingwa wa ulaya huoni haiingii akilini?
Siungi mkono jitihada zao za kutaa uefa iwe ligi,ila uefa haimaanishi bingwa wa ulaya.
Kwa sababu kama ni hivyo hata io liverpool isingeingia kwa sababu sio champion kwenye ligi yake ni timu zilizoingizwa kujazilizia ili mfumo wa uefa uende sawa.
Kwaio timu kama liverpool kuchukua uefa huwezi kuiita bingwa wa ulaya.
Labda useme timu iliyochukua ligi yake pamoja na uefa ni haki yako kuiita bingwa wa ulaya.
Ila kama wataibadilisha uefa na ikutanishe mabingwa wa ligi tu kama ni nane au ngap alafu mshindi apatikane kwa points hapo utampata bingwa wa ulaya.
Na hapo huwezi kumuona liverpool.
Hayo ni mawazo yako binafsi na Liverpool kua bingwa wa ulaya ni ‘fact’ usikaze kichwa.
Kwanza ujue liverpool kawafunga mabingwa wa Spain,wa Germany,wa France ma wakina Porto pia by the time UEFA inaendelea wao ndo walikua mabingwa kwa hio hata hio unayotaka kulaximisha kua eti inatakiwa iwe timu moja moja kutoka kila ligi ni uebe wako tu wa kufikiri kwani zikiwepo nne au tatu kutoka kila ligi kinachowafanya hao mabingwa wa ligi za ndani wasishinde ni nini?tena si wanakutana ma weaker teams sasa why don’t they win???
Hio unayotaka sijui bingwa wa mabingwa ni mawazo yako tu ila uhalisia uliopo ni kua UEFA zinakutana best teams from each league ‘IN EUROPE’ kumtafuta bingwa mmoja haijalishi nani alishinda kwao.
Eti unasema hata nottigham wana UEFA kwa hio ni la yyte,hivi unajua wakati anachukua alikua na hali gani kisoka?walikua ni timu bora sio kama unavyowaona sasa hivi wakiwa hawana hela
Kwa mawazo yako basi baada ya miaka labda 10 mtu mwingine kama wewe atasema “UEFA kita gani hata Ac milan anayo” bila kufikiria kipindi anachukua alikua na kina nani..wakati Ac anachukua alikua na kikosi bora UEROPE kwa hio kisa saiv ni mbovu haimaanishi UEFA ni ya yyte.
Wewe unasema mawazo yako bora ligi kuliko UEFA??basi mawazo ya wamiliki wa hizo club tunazozishabikia wanajua umuhimu wa uefa..juventus imeshinda ligi mara nane mfululizo na katika hicho kipindi hawajachukua UEFA hata mara moja..halafu useme rahisi?pamoja na kuchukua ligi mara zote hizo wanafukuza makocha unajua sababu?kama ligi ni muhimu ‘kwa akili zako’ unahisi kwa nini wanafukuza makocha..same as bayern unahisi kwa nini guardiola aliondoka??si alishinda ligi mara zote alizokuepo??PSG je kwa nini wanafukuza makocha??kwa nini wanaspend sana??
Hata man city kwani ilikua haibebi ligi?kwa nini sasa wakafukuza kocha na kusajili kwa pesa nyingi???
UEFA ndio most prestigious kwa kombe lolote la club haijalishi mawazo yako yanasemaje maana hio ni fact na pia mshindi wa uefa ni Champion of Europe.