The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sane ni Left footed

Mahrez naona bado sana kufikia au kuwa sawa kiwango na Sane na ndio maana nikasema naona Sane ataacha pengo sababu Bernado sio mtu wa kukupa zaidi ya goli 10 za ligi kwa msimu ingawa anajua sana
Tatizo pep hampi sane nafasi yakucheza wing ya kulia na ku cut-in.
Ata akimchezesha na sterling mara nyingi anawafanye wawe wakupiga cross tu,hata timu hake ya taifa inamfanya hvyo.
Ila mahrez tutamuona msimu ujao,nategemea mengi sana kwake.

Sterling,
benardo(wing midfield kwa sasa)
Mahrez vs sane
Jesus vs aguero,
Mendy vs Zinchenko vs angelino,
Foden vs silva(msimu wake wa mwisho ameshatangaza anaondoka na hataki akutane na city)
Full fit de bruyne.
 
Uefa hata Aston vila anazo 2 aina maajabu pia, n' forest anayo.
Ni kombe ambalo hata mtu alieshindwa kuwa bingwa kwenye ligi yake anachukua kwaio halina maajab sana.
Kwangu mm
1)ligi
2)uefa
Uefa ni kombe la yoyote yule kwanza huchezi na timu zote.

Nakupa darasa kidogo:
Notigham Forrest na Aston Villa walibeba European Cup na hawajatwaa Uefa Champions League.(UCL) kama ambavyo Liverpool hajatwaa EPL lakini ametwaa Football League Cup mara 18.
Ufikirie kabla hujaandika
 
Tatizo pep hampi sane nafasi yakucheza wing ya kulia na ku cut-in.
Ata akimchezesha na sterling mara nyingi anawafanye wawe wakupiga cross tu,hata timu hake ya taifa inamfanya hvyo.
Ila mahrez tutamuona msimu ujao,nategemea mengi sana kwake.

Sterling,
benardo(wing midfield kwa sasa)
Mahrez vs sane
Jesus vs aguero,
Mendy vs Zinchenko vs angelino,
Foden vs silva(msimu wake wa mwisho ameshatangaza anaondoka na hataki akutane na city)
Full fit de bruyne.

Silva anaondoka kumbe mwezi wa tano 2020?
 
Bernado sio kiungo kwa mtizamo wangu, kumuweka kiungo Bernado ni kuforce

The same to Zinchenko nae pia sio Fullback, Kumuweka Zinchenko Fullback ni kuforce
 
tetesi nyingine ni kwamba PSG nao kama Neymar akiondoka wanamtaka Sane

Sane yuko njia panda
 
Nakupa darasa kidogo:
Notigham Forrest na Aston Villa walibeba European Cup na hawajatwaa Uefa Champions League.(UCL) kama ambavyo Liverpool hajatwaa EPL lakini ametwaa Football League Cup mara 18.
Ufikirie kabla hujaandika
Hivi na hilo unapinga,umefatilia history kweli?
Ingia kwenye website ya UEFA utaona kitu hiki
IMG_20190711_221051_799.JPG
 
tetesi nyingine ni kwamba PSG nao kama Neymar akiondoka wanamtaka Sane

Sane yuko njia panda
City walisema sane is not for sale.
Ila kama yeye mwenyewe sane atakubali shinikizo la wazazi wke kwenda bayern hapo ndipo atauzwa.
Kwaio yy mkewe anamshauri abaki city, wazazi wanataka aende bayern. Na bei waliotajiwa bayern imekuwa kubwa mno mpaka wanacheza na vyombo vya habari,rais wa tim,kocha na wachezaji wote wanasema kimoja.
Kwaio timu kama psg sithan kama zina io nafasi.
Ila ngoja tuone
 
Forbes' 2019 list of most valuable football clubs:
1. Real Madrid – $4.24bn (£3.38bn)

2. Barcelona – $4bn (£3.19bn)

3. Manchester United – $3.8bn (£3.03bn)

4. Bayern Munich – $3bn (£2.39bn)

5. Manchester City – $2.69bn (£2.15bn)

6. Chelsea – $2.6bn (£2.07bn)

7. Arsenal – $2.3bn (£1.83bn)

8. Liverpool – $2.18bn (£1.74bn)

9. Tottenham Hotspur $1.62 (£1.29bn)

10. Juventus $1.51 (£1.2bn)

11. Paris Saint-Germain $1.09bn (£870m)

12. Atletico Madrid $953m (£760m)

13. Borussia Dortmund $896m (£714m)

14. Schalke $683m (£545m)

15. Inter Milan $672m (£536m)

16. Roma $622m (£496m)

17. West Ham $616m (£491m)

18. AC Milan $583m (£465m)

19. Everton $476m (£379m)

20. Newcastle United $381m (£304m)

Read more athttps://www.fourfourtwo.com/feature...ham-real-madrid-barcelona#kQmoHbRpyEtLrqbV.99
 
Mwaka jana

2018 (in dollars): jumlisha na toa (kupanda na kushuka)
1 Manchester United Barclays Premier League 4,123 -323M
2 Real Madrid Liga BBVA 4,088 +155M
3 Barcelona Liga BBVA 4,064 -64M
4 Bayern Munich German Bundesliga 3,063-63M
5 Manchester City Barclays Premier League 2,474 +220M
6 Arsenal Barclays Premier League 2,238-77M
7 Chelsea Barclays Premier League 2,062+540M
8 Liverpool Barclays Premier League 1,944+320M
9 Juventus Serie A TIM 1,472 +40M
10 Tottenham Hotspur Barclays Premier League 1,237 +385M

from:
 
Nashangaa chelsea kupanda thamani kubwa kuzidi liverpool.

Na bayern namba 4 huku wakisema sane anauzwa ghari sana.
 
Hivi na hilo unapinga,umefatilia history kweli?
Ingia kwenye website ya UEFA utaona kitu hiki
View attachment 1151540

Kama ambavyo Liverpool hajabeba EPL lakini ni bingwa wa ligi mara 18 ndivyo hivyo hivyo Aston Villa na Nottingham Forest wameweza kutwaa European Cup twice lakini sio UCL
Format ya UCL ilianza 1992 mzee baba
 
Io ni kweli.
Liverpool hajawahi beba EPL ila kabla haijawa epl alishabeba.
 
Danilo hataki kuondoka

Vyanzo vinasema anaamini bado anaweza kupigania namba hapo City
 
Walionewa pia hawakujitetea vya kutosha.
Mbona psg aliwatuliza tuliza,uefa.
Sasa PSG ni wale wale tu nyuma ya pazia wanamwaga pesa nyingi sana, AC Milan hawana pesa kama waarabu wa PSG na Man City
 
Same for Aston Villa na Nottingham Forest ambao walibeba European Cup lakini hawajatwaa UCL
Unakosea.
Hao wawili wapo kwenye hall of fame ya uefa.
Ila liverpool haipo kwenye hall of fame ya epl kwa kuanzia.
 
Back
Top Bottom