goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Tatizo pep hampi sane nafasi yakucheza wing ya kulia na ku cut-in.Sane ni Left footed
Mahrez naona bado sana kufikia au kuwa sawa kiwango na Sane na ndio maana nikasema naona Sane ataacha pengo sababu Bernado sio mtu wa kukupa zaidi ya goli 10 za ligi kwa msimu ingawa anajua sana
Ata akimchezesha na sterling mara nyingi anawafanye wawe wakupiga cross tu,hata timu hake ya taifa inamfanya hvyo.
Ila mahrez tutamuona msimu ujao,nategemea mengi sana kwake.
Sterling,
benardo(wing midfield kwa sasa)
Mahrez vs sane
Jesus vs aguero,
Mendy vs Zinchenko vs angelino,
Foden vs silva(msimu wake wa mwisho ameshatangaza anaondoka na hataki akutane na city)
Full fit de bruyne.