Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na apo bernado hayupo.Hiki ndio kikosi ambacho kitakuwepo muda mrefu pale Ettihad
Shida inakuja pale EPL
Kikosi hiki hata Real Madrid ambayo ina Hazard wanakufa kirahisi mnoView attachment 1148196
Nilikuwa natazama documentary ya barca inayohusu kipindi cha guadiola inaitwa " TAKE THE BALL PASS THE BALL".
TIKI-TAKA yenyewe kipindi cha pep.
Sio siri jamaa wanamkumbuka sana PeP wacha wajutie kdg.
Inacheza nn mdako au?Sasa hivi naona kama Man City hachezi ile tiki-taka yenyewe
Ha ha ha!Inacheza nn mdako au?
Inacheza nn mdako au?
Wachezaji wakuokota okota.Sasa hivi naona kama Man City hachezi ile tiki-taka yenyewe
Ni wapuuzi wiki iliyopita walikuwa nakusema wanamtaka dembele kama mbadala wa sane ambae alitajwa €120m wakati huo kwa sane ambae ndio chaguo lao wakasema €80mDalili zinaonyesha lazima Sane atimkie Bayern na kinachofukisha Moshi ni kutokuanza(benchi)
Bayern watafanya kila fitina kumchomoa huyo dogo hapo Etihad
Nakama wataruhusu aondoke.Dalili zinaonyesha lazima Sane atimkie Bayern na kinachofukisha Moshi ni kutokuanza(benchi)
Bayern watafanya kila fitina kumchomoa huyo dogo hapo Etihad
Ni wapuuzi wiki iliyopita walikuwa nakusema wanamtaka dembele kama mbadala wa sane ambae alitajwa €120m wakati huo kwa sane ambae ndio chaguo lao wakasema €80m
Wapuuzi.
Sane akienda bayern atapata namba ya uhakika, ila angenusa upepo unapoelekea abaki city.
Anaogopa kushindania namba na mahrez !!!
Upuuzi.
Nakama wataruhusu aondoke.
Hakuna kinda wakumrithi ni mbape peke yake.
Ugumu utakuwa pale sterling anapokuwa majeruhi.
Uzuri ata ataapoondoka hakutakuwa na pengo kubwa.
Kupata namba mbele ya benardo kwa sasa ni mtihani sana. Pia sane ni mzuri akitokea sub.Sane kashindwa ushindani na Bernado
Ni kweli, ila wanacheza na akili yake.Pengo litakuwepo sababu watu wazuri pale winga ya kulia ni kama watakuwa Hawapo maana we mwenyewe unajua jinsi ambavyo Bernado hawezi kuwapa goli 10 za ligi kwa msimu