Anakuwaje bingwa wa ulaya wakati hakucheza na bingwa wa italy,wala bingwa wa england,wala bingwa wa netherland,
Timu imeshindwa kuwa bingwa wa ligi yake itakuwaje bingwa wa ulaya huoni haiingii akilini?
Siungi mkono jitihada zao za kutaa uefa iwe ligi,ila uefa haimaanishi bingwa wa ulaya.
Kwa sababu kama ni hivyo hata io liverpool isingeingia kwa sababu sio champion kwenye ligi yake ni timu zilizoingizwa kujazilizia ili mfumo wa uefa uende sawa.
Kwaio timu kama liverpool kuchukua uefa huwezi kuiita bingwa wa ulaya.
Labda useme timu iliyochukua ligi yake pamoja na uefa ni haki yako kuiita bingwa wa ulaya.
Ila kama wataibadilisha uefa na ikutanishe mabingwa wa ligi tu kama ni nane au ngap alafu mshindi apatikane kwa points hapo utampata bingwa wa ulaya.
Na hapo huwezi kumuona liverpool.