The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mm naona aguero na jesus msimu huu kuna uhakika wa pasu kwa pasu idadi za mechi watakazocheza.
Huyu jesus ana goal/matches rate kubwa muone hvyo.
Na hii copa america ndio itambeba zaidi.
Uzuri hana maneno mengi ya kujipaisha na yupo tayari kujifinza.
Kasoro zake chache ni zile offside pamoja na finish sio pure perfect
Msimu ujao kutakuwa na ushindani mkubwa sana wa namba boss..!
 
Kwa ligi na uefa msimu huu.
Ederson
Stones
Laporte
Mendy
Walker
Fenandinho when fit
Silva
Debruyne
Sterling
Aguero
Bernado.

Ikibadilika forwad na midfield.
Fenandinho
Kdb
Bernado
Sane
aguero
sterling
Rodri haumpi kabisa nafasi ya kuanza boss..?
 
Naona waingereza wanatengeneza movie na wachezaji mpira
FB_IMG_15631168893500008.jpeg

FB_IMG_15631169049865821.jpeg
 
Nani huyo mkuu?
Maguire to utd
£80m
watalipa £60m alafu £20m
Wameuziwa maguire kwa bei kubwa kuliko defender yoyote.
He is not even £60m worthy.

Sijamaanisha garasa lisiloweza lolote.
Nimemanisha mchezaji wa kawaida
 
Man City effect hiyo kiongozi...
Man City walijifanya wanamtaka huyo jamaa, Man Utd nao wakawa wanamtaka...
Leicester wakawa wanapandisha bei tu, Man City akachomoka akabaki Man Utd peke yake...
Hatimaye amemwaga pesa nyingi tena..!
Hii iliwahi kuwatokea kwenye usajili wa Fred pia...
 
Nakumbuka fred pia ilikuwa hv kama unavyosema
 
Maguire to utd
£80m
watalipa £60m alafu £20m
Wameuziwa maguire kwa bei kubwa kuliko defender yoyote.
He is not even £60m worthy.

Sijamaanisha garasa lisiloweza lolote.
Nimemanisha mchezaji wa kawaida
Maguire mzuri ila hana pace

Ila wale majirani zenu kwa kupigwa tu hawajambo. Beki kama yule labda pauni million 35

Kwa hiyo bei wamepigwa kiutamu, wakati wenzao wa Chelsea walimpata Rudiger kwa chini ya 40 na ni bonge la CB
 
Utd kwa sasa nimtapwa maji kwa kweli.
Leicester wanafanya biashara nzuri sana
Tayari wao wanamtaka beki wa brighton £40m na bado wanaongea

Kwanza sidhani kama utd wana scouters
 
Anakuwaje bingwa wa ulaya wakati hakucheza na bingwa wa italy,wala bingwa wa england,wala bingwa wa netherland,
Timu imeshindwa kuwa bingwa wa ligi yake itakuwaje bingwa wa ulaya huoni haiingii akilini?
Siungi mkono jitihada zao za kutaa uefa iwe ligi,ila uefa haimaanishi bingwa wa ulaya.
Kwa sababu kama ni hivyo hata io liverpool isingeingia kwa sababu sio champion kwenye ligi yake ni timu zilizoingizwa kujazilizia ili mfumo wa uefa uende sawa.
Kwaio timu kama liverpool kuchukua uefa huwezi kuiita bingwa wa ulaya.
Labda useme timu iliyochukua ligi yake pamoja na uefa ni haki yako kuiita bingwa wa ulaya.

Ila kama wataibadilisha uefa na ikutanishe mabingwa wa ligi tu kama ni nane au ngap alafu mshindi apatikane kwa points hapo utampata bingwa wa ulaya.
Na hapo huwezi kumuona liverpool.
Hayo ni mawazo yako binafsi na Liverpool kua bingwa wa ulaya ni ‘fact’ usikaze kichwa.
Kwanza ujue liverpool kawafunga mabingwa wa Spain,wa Germany,wa France ma wakina Porto pia by the time UEFA inaendelea wao ndo walikua mabingwa kwa hio hata hio unayotaka kulaximisha kua eti inatakiwa iwe timu moja moja kutoka kila ligi ni uebe wako tu wa kufikiri kwani zikiwepo nne au tatu kutoka kila ligi kinachowafanya hao mabingwa wa ligi za ndani wasishinde ni nini?tena si wanakutana ma weaker teams sasa why don’t they win???
Hio unayotaka sijui bingwa wa mabingwa ni mawazo yako tu ila uhalisia uliopo ni kua UEFA zinakutana best teams from each league ‘IN EUROPE’ kumtafuta bingwa mmoja haijalishi nani alishinda kwao.

Eti unasema hata nottigham wana UEFA kwa hio ni la yyte,hivi unajua wakati anachukua alikua na hali gani kisoka?walikua ni timu bora sio kama unavyowaona sasa hivi wakiwa hawana hela
Kwa mawazo yako basi baada ya miaka labda 10 mtu mwingine kama wewe atasema “UEFA kita gani hata Ac milan anayo” bila kufikiria kipindi anachukua alikua na kina nani..wakati Ac anachukua alikua na kikosi bora UEROPE kwa hio kisa saiv ni mbovu haimaanishi UEFA ni ya yyte.

Wewe unasema mawazo yako bora ligi kuliko UEFA??basi mawazo ya wamiliki wa hizo club tunazozishabikia wanajua umuhimu wa uefa..juventus imeshinda ligi mara nane mfululizo na katika hicho kipindi hawajachukua UEFA hata mara moja..halafu useme rahisi?pamoja na kuchukua ligi mara zote hizo wanafukuza makocha unajua sababu?kama ligi ni muhimu ‘kwa akili zako’ unahisi kwa nini wanafukuza makocha..same as bayern unahisi kwa nini guardiola aliondoka??si alishinda ligi mara zote alizokuepo??PSG je kwa nini wanafukuza makocha??kwa nini wanaspend sana??

Hata man city kwani ilikua haibebi ligi?kwa nini sasa wakafukuza kocha na kusajili kwa pesa nyingi???

UEFA ndio most prestigious kwa kombe lolote la club haijalishi mawazo yako yanasemaje maana hio ni fact na pia mshindi wa uefa ni Champion of Europe.
 
City hata akichukua msimu huu.
Bado kitatafutwa cha kusema.
Alafu kumbuka rate ya liverpool kuchukua uefa ni 21+ years per trophy.
City inamiaka 10 tu kwenye moto.
But unfortunatly they deserved it.
 
Manchester city. Ndio timu bora kwa sasa ulaya io yoyote anajua.
Kwanza ndio timu pekee iliyochukua point 4 kwa liverpool wakat liverpool ilichukua point moja tu.
Liverpool ni bingwa wa knock-outs, ukisema hvyo tuposambamba.
Maana ata wigan alichukua FA ila haimaanishi ndio timu bora England.
Kwa sababu FA nayo inabeba timu aina zote England
 
Back
Top Bottom