Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kitu cha kawaida mkuu. Sisi kwenye mazoezi kuna wakati tunapopanga kikosi tunachukua mabeki wote na baadhi ya viungo watoe timu yao na baadhi ya viungo na washambuliaji watoe timu yao. Kwa hiyo kwa mabeki watatoa washambuliaji. Pia kwenye hii timu nyingine iliyojaa washambuluaji watatoa na mabeki pia.Kuna anaeshangaa hiki!?
View attachment 1159895
Timu ya mabwanyenye City. Mnaongoza kwa plastic fans baada ya Chelsea. Hivi mnawezaje kushabikia timu kama hii. Kua mshabiki wa mabwanyenye hakuna tofauti na kua kada wa nzi wa kijani.
Hahaha bwanyenye fc napita tu kuwasalimia washabiki naona mmepoa kama uji uliolala hamjui mpira mnajadili facts za uongo tu huku.
Baadae nitarudi.
Nilivyosa comment yako ikabidi niitafakari mara mbili alafu nikaiona kumbe ina pande mbili.io postDuh
Code ngumu, kaongea kimafumbo hadi sijaelewa
NimemuelewaNilivyosa comment yako ikabidi niitafakari mara mbili alafu nikaiona kumbe ina pande mbili.io post
Au anaiaga ENGLAND pia hahaNimemuelewa
Amemaanisha wanaondoka huko wanarudi England
Timu ya mabwanyenye City. Mnaongoza kwa plastic fans baada ya Chelsea. Hivi mnawezaje kushabikia timu kama hii. Kua mshabiki wa mabwanyenye hakuna tofauti na kua kada wa nzi wa kijani.
Hahaha bwanyenye fc napita tu kuwasalimia washabiki naona mmepoa kama uji uliolala hamjui mpira mnajadili facts za uongo tu huku.
Baadae nitarudi.
Hil genge limejaa washabik wa Arsenal walio kimbia kipind wanapigwa 8Unakuta eti mtu mzima na mindevu yake anaishabikia city[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] unajiuliza miaka 15 iliyopita huyu alikuwa shabiki wa timu gani!!? Wa kuhamahama fc
Amepewa kuchagua.Huyu dogo kama anataka kurudi kwao muachieni tu aenjoy upendeleo wake
Anacheza sana kama midfield. Ilo ndio tatizoOryazabal
Winger
41 appearances with 14 goals
Wanted by Pep Guardiola if Sane departs
Kwani wewe unateseka watu wazima wakiishabikia City..?Unakuta eti mtu mzima na mindevu yake anaishabikia city[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] unajiuliza miaka 15 iliyopita huyu alikuwa shabiki wa timu gani!!? Wa kuhamahama fc
Kwahiyo wewe na akili zako timamu kabisa unaamini timu kama Man City haistahili kuwa na mashabiki..?Hil genge limejaa washabik wa Arsenal walio kimbia kipind wanapigwa 8
wewe ni mke wa sane?[emoji41]hahahahah
Saga la Sane kwenda Bayern sasa hivi Sane anazikaushia text msgs za Kimmich