The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kitu cha kawaida mkuu. Sisi kwenye mazoezi kuna wakati tunapopanga kikosi tunachukua mabeki wote na baadhi ya viungo watoe timu yao na baadhi ya viungo na washambuliaji watoe timu yao. Kwa hiyo kwa mabeki watatoa washambuliaji. Pia kwenye hii timu nyingine iliyojaa washambuluaji watatoa na mabeki pia.

Hii inamsaidia mchezaji kujua majukumu mengine na kuyamudu nje ya ile position yake professionally. So its normal hasa kwa game ambazo hazina pressure na friendly games.
 
Timu ya mabwanyenye City. Mnaongoza kwa plastic fans baada ya Chelsea. Hivi mnawezaje kushabikia timu kama hii. Kua mshabiki wa mabwanyenye hakuna tofauti na kua kada wa nzi wa kijani.
Hahaha bwanyenye fc napita tu kuwasalimia washabiki naona mmepoa kama uji uliolala hamjui mpira mnajadili facts za uongo tu huku.
Baadae nitarudi.
 
Utakuta litimu lako bovu kwa hiyo wivu tu unakusumbua
 
Unakuta eti mtu mzima na mindevu yake anaishabikia city[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] unajiuliza miaka 15 iliyopita huyu alikuwa shabiki wa timu gani!!? Wa kuhamahama fc
Timu ya mabwanyenye City. Mnaongoza kwa plastic fans baada ya Chelsea. Hivi mnawezaje kushabikia timu kama hii. Kua mshabiki wa mabwanyenye hakuna tofauti na kua kada wa nzi wa kijani.
Hahaha bwanyenye fc napita tu kuwasalimia washabiki naona mmepoa kama uji uliolala hamjui mpira mnajadili facts za uongo tu huku.
Baadae nitarudi.
 
IMG_20190729_211359_901.JPG
 
Oryazabal

Winger

41 appearances with 14 goals

Wanted by Pep Guardiola if Sane departs
 
Unakuta eti mtu mzima na mindevu yake anaishabikia city[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] unajiuliza miaka 15 iliyopita huyu alikuwa shabiki wa timu gani!!? Wa kuhamahama fc
Kwani wewe unateseka watu wazima wakiishabikia City..?
Hata mtu akihama timu,kuna namna yoyote hili jambo linaathiri maisha yako binafsi..?
 
hahahahah

Saga la Sane kwenda Bayern sasa hivi Sane anazikaushia text msgs za Kimmich
 
Walichomtendea bernado silva sio kabisa
Haya kwenye list hayopo.
Unamuwekaje harry kane ukamuacha benardo silva?
Tena mtu aliekuwa majeruhi.
Hajaisaidia timu yake kuchukua chochote..
Ama kumuacha Allison na kumuweka Salah na mane.
Nimeamini izi tuzo zinatafuta watu.
Wakati messi na Ronaldo wanapokezana walitazama vikombe mtu anavyochukua.
Leo wamehama tena
 
Back
Top Bottom