Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kitu cha kawaida mkuu. Sisi kwenye mazoezi kuna wakati tunapopanga kikosi tunachukua mabeki wote na baadhi ya viungo watoe timu yao na baadhi ya viungo na washambuliaji watoe timu yao. Kwa hiyo kwa mabeki watatoa washambuliaji. Pia kwenye hii timu nyingine iliyojaa washambuluaji watatoa na mabeki pia.Kuna anaeshangaa hiki!?
View attachment 1159895
Hii inamsaidia mchezaji kujua majukumu mengine na kuyamudu nje ya ile position yake professionally. So its normal hasa kwa game ambazo hazina pressure na friendly games.