The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kipaji kimeishia pale

Laporte ndio CB pale City cha ajabu nashangaa anakosaje namba National team ya France wakati ni mzungu natural kabisa wa Kifaransa
Watamuita tu.
Walikuwa wanawategemea wakina umtiti na kimpembe.
 
Hata Messi anapigwa chenga vizuri tu, hata mimi na wewe . Chenga ni kuzidiwa akili wakati husika sababu mwenye mpira in the first place ana edge zaidi yako

Kazi anaifanya vizuri na hata msimu ulioisha nadhani Moura alimpiga Chenga VvD
Yeah.
I remember.
Nii kitu cha kawaida kweli ila media zilikuwa zinapamba sana habar
 
Janaa liverpool walikuwa wanakula gori 3 kabisa, tatizo ni huyu kiazi sterling sijui ana nin, nafasi za wazi na kipa, anashindwa kufunga kabisa,


Kaniboa baraa huyu mtu daaa
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Aguero sehem kama zile ndo unaona umuhim wake
 
€30m + Danilo
FB_IMG_15649986924205246.jpeg
 
Huyu jamaa anatofauti moja kubwa na bernie.
Huyu ni mfungaji. Anapo cut in huwa anatafuta goli kwanza.
0_ECE_10_MAN_CITY_TRAIN-1.jpeg
 
Utd wanakaribia kutumia 1b£ tangu aondoke Sir. AF
Ila ingekuwa city tungesikia kelele za FFP rules
 
Kwa mechi ya jumapili waliocheza dhidi Liverpool, Man city msimu huu waandikie chaki tu maana hakuna namna 😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Diego simeon :

Q - Is the manager obliged to follow the spirit of the club?

Simeone -When we the managers arrive at a club, we need to understand its history. If we don't understand it, we are destined to have a worse than a better time. If I don't feel that essence, I don't go. From the moment I agree to go, the healthiest and noblest thing that the manager do is to ask: "What is the history of this club? And to mold your style of play to the history of that club, without ceasing to be you, from that very moment.

Ajax has a defined school. Barcelona have it, Juventus has it too. And Atlético de Madrid, too. Not [Real] Madrid. Because they alternate the different ways of playing based on the talent avalaible. And there are teams that are being born, like Guardiola's [Manchester] City, which doesn't have a history [of playing a certain way], but it is slowly closing in on what Guardiola is showing it as a path. And maybe in 10 years we'll say, "City plays in a certain way". We'll have to see if post Guardiola comes someone to change what he's proposing now. But of course it's important to manage the club's history; the fans need to see what's familiar to them, and it's easier for the players to get closer to what the club asks of them when the club has its history defined.
 
Utd wanakaribia kutumia 1b£ tangu aondoke Sir. AF
Ila ingekuwa city tungesikia kelele za FFP rules
Ninyi munapaswa kufungiwa Uefa maana mumecheza rafu nyingi sana kwenye usajili. Na Pep alipoangalia anaeza asicheze final hata moja Uefa. Kwa sasa City itaenda kuwa timu ya kawaida sana.!
 
Ninyi munapaswa kufungiwa Uefa maana mumecheza rafu nyingi sana kwenye usajili. Na Pep alipoangalia anaeza asicheze final hata moja Uefa. Kwa sasa City itaenda kuwa timu ya kawaida sana.!
Kwa kigezo gan mkuu umeona maono ayo?
 
Ninyi munapaswa kufungiwa Uefa maana mumecheza rafu nyingi sana kwenye usajili. Na Pep alipoangalia anaeza asicheze final hata moja Uefa. Kwa sasa City itaenda kuwa timu ya kawaida sana.!
Unajua hata city kuchukua ligi watu walifikiri ni kitu kisichowezekana kama baadhi ya watu sasa wanavyoongea kuhusu city kuchukua uefa haiwezekani.
 
Most sensational event ya epl ni ule wakati CITY Inabeba EPL,
Pia izi rafu unazozisema zimewekwa sana sana kuzibana timu kama city na psg ama ingine itakayoibuka kwa nguvu kubwa.
 
Back
Top Bottom