The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii man city itakuwa ya kawaida sana msimu huu ..yani ata Norwich akikaza anajipatia point apa..
 
Inasemekana total football sio nzuri kwenye UEFA, kuna baadhi wanadai timu zinazocheza Total football haziwezi fua dafu mbele ya timu ambazo hazina tiki-taka
Ni kweli kabisa,maana timu huwa zinafocus kupta matokeo hasa kwenye mtoano, mpaka fainali,timu nyingi huwa zinajilinda Sana na kushambulia kwa kuvizia.
 
Hizi takwimu ni kama wanatuchuria kila mwaka probability unaambiwa city daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…