The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii draw naona imelenga kuzikutanisha timu fulan zilizofanyiana ukatilli mzim uliopita.
Timu kali zote zinauhakika wa kupita,kimbembe kinakuja kwenye KO.

Na ss mfumo wetu wa tik tak tusipobadili uefa itatukost sana .
Mambo ya "" ni replace"" naenda kushambulia sio Uefa.
Halafu ilikundi la city jepesi mpaka kero, msimu uliopita timu zilizopita kimazabemazabe group stage ndo zimefika final kwa sababu walipata challenge za kutosha sana.

Natimu zingine zinazobahatisha bahatisha UEFA kama liverpool sijui ata zilifikaje FINAL
 
Jamaa mbona una wasiwasi sana wewe na Manchester city yako,Tulia mapambano bado hata mechi hazijaanza umeshawaza timu za kupangiwa nazo KO Hii ndio Champions league ili uwe Bingwa lazima ucheze na Mabingwa na nakuhakikishia Manchester city kwa style ya uchezaji wake mwisho ni Robo fainali.
 
Ww anaumwa ww
 
Liverpool ana damu ya UEFA

Mpira wa show mnaopiga hadi Lyon waliwatoa kamasi
 

Wewe kumbe ni kituko kweli!!!
Timu iliyocheza Fainali Mara 2 mfululizo inaiita inabahatisha?
 
Bange mbaya kweli! Hotuba hii ya Cantons imewaacha watu hoi.

"Soon science will not only be able to slow down the ageing of cells, it will fix cells and so we will become eternal. Only accidents, crimes, wars will kill us but unfortunately crimes and wars will multiply. I love football. Thank you."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…