goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
City vs dinamo
Double digit score sheet.
Sijui izi timu zimeingiaje ingiaje uefa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
City vs dinamo
Lile ajax valencia.Sio kwa chelsea...labda kama unaizungumzia aseno
Valencia wako vizuri sijawadharau ila naona wanapendaga zaidi EL kuliko UEFA.Valencia unawachukuliaje mzee baba
Pukki katoka wapi?Kakutanishwa na Valencia na Ajax halafu wote wana timu nzuri sio kama yeye ambae anategemea madogo waliotoka Championship
Ile championship ni balaa,, ogopa sana ligi timu zote zinalingana uwezo[emoji23][emoji23]Pukki katoka wapi?
Hivi Championship mnaichukuliaje?
Haha pukki namuelewa sana.Pukki katoka wapi?
Hivi Championship mnaichukuliaje?
Sure championship ni balaa.Ile championship ni balaa,, ogopa sana ligi timu zote zinalingana uwezo[emoji23][emoji23]
Hawa jamaa ile ligi wanaichukulia poa sanaIle championship ni balaa,, ogopa sana ligi timu zote zinalingana uwezo[emoji23][emoji23]
Mimi natabirigi na nnakulaSure championship ni balaa.
Huwezi ata kuitabiri wote wanalingana lingana mauwezo hehe
Inabidi nikuige mbinu mkuuMimi natabirigi na nnakula
Jamaa mbona una wasiwasi sana wewe na Manchester city yako,Tulia mapambano bado hata mechi hazijaanza umeshawaza timu za kupangiwa nazo KO Hii ndio Champions league ili uwe Bingwa lazima ucheze na Mabingwa na nakuhakikishia Manchester city kwa style ya uchezaji wake mwisho ni Robo fainali.Hii draw naona imelenga kuzikutanisha timu fulan zilizofanyiana ukatilli mzim uliopita.
Timu kali zote zinauhakika wa kupita,kimbembe kinakuja kwenye KO.
Na ss mfumo wetu wa tik tak tusipobadili uefa itatukost sana .
Mambo ya "" ni replace"" naenda kushambulia sio Uefa.
Halafu ilikundi la city jepesi mpaka kero, msimu uliopita timu zilizopita kimazabemazabe group stage ndo zimefika final kwa sababu walipata challenge za kutosha sana.
Natimu zingine zinazobahatisha bahatisha UEFA kama liverpool sijui ata zilifikaje FINAL
Ww anaumwa wwJamaa mbona una wasiwasi sana wewe na Manchester city yako,Tulia mapambano bado hata mechi hazijaanza umeshawaza timu za kupangiwa nazo KO Hii ndio Champions league ili uwe Bingwa lazima ucheze na Mabingwa na nakuhakikishia Manchester city kwa style ya uchezaji wake mwisho ni Robo fainali.
Liverpool ana damu ya UEFAHii draw naona imelenga kuzikutanisha timu fulan zilizofanyiana ukatilli mzim uliopita.
Timu kali zote zinauhakika wa kupita,kimbembe kinakuja kwenye KO.
Na ss mfumo wetu wa tik tak tusipobadili uefa itatukost sana .
Mambo ya "" ni replace"" naenda kushambulia sio Uefa.
Halafu ilikundi la city jepesi mpaka kero, msimu uliopita timu zilizopita kimazabemazabe group stage ndo zimefika final kwa sababu walipata challenge za kutosha sana.
Natimu zingine zinazobahatisha bahatisha UEFA kama liverpool sijui ata zilifikaje FINAL
Hii draw naona imelenga kuzikutanisha timu fulan zilizofanyiana ukatilli mzim uliopita.
Timu kali zote zinauhakika wa kupita,kimbembe kinakuja kwenye KO.
Na ss mfumo wetu wa tik tak tusipobadili uefa itatukost sana .
Mambo ya "" ni replace"" naenda kushambulia sio Uefa.
Halafu ilikundi la city jepesi mpaka kero, msimu uliopita timu zilizopita kimazabemazabe group stage ndo zimefika final kwa sababu walipata challenge za kutosha sana.
Natimu zingine zinazobahatisha bahatisha UEFA kama liverpool sijui ata zilifikaje FINAL
Hahahahahahahahah Hakuna West ham huku tutapambana wanaume kwa wanaume.Ww anaumwa ww