The Thugs001
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 434
- 933
Hii match inaisha draw ama city anashinda
Mungu ibariki city!!
Hii match inaisha draw ama city anashinda
Mungu ibariki city!!
Sisi tumeshinda leoSweetheart pole sana.
Draw ya kabati
HahahahahahahahahHii match inaisha draw ama city anashinda
Mungu ibariki city!!
Sisi tumeshinda leo
Mungu bariki City
Nimeona unawaombea City ushindi nikajua umehamia kwa jirani.
Uko powa?
Kuombea city washinde ni moja ya my best ways of showing how much i hate liver
Niko stressed/hasira halafu sina uhakika ni za nini exactly
Sijui ni liver kushinda ama city kufungwa ama ni jambo lingine
Siko poa kabisa muda huu
Hahahahahahahahah kwahiyo Norwich wao hawana MUNGUMungu bariki City
Pole. Bila shaka ww shabiki wa mwanitesa united. Sasa sbb ushaona timu yako ni hopeless sasa umebakia kuiombea city maana ndo anaweza mpa challenge Liverpool.Kuombea city washinde ni moja ya my best ways of showing how much i hate liver
Niko stressed/hasira halafu sina uhakika ni za nini exactly
Sijui ni liver kushinda ama city kufungwa ama ni jambo lingine
Siko poa kabisa muda huu
Uko sawa kabisaPole. Bila shaka ww shabiki wa mwanitesa united. Sasa sbb ushaona timu yako ni hopeless sasa umebakia kuiombea city maana ndo anaweza mpa challenge Liverpool.
Wewe umeshaona timu yako ni Mataputapu uwezo wa kuikimbiza Liverpool hamna tena,kilichobaki ni kujikombakomba kwa timu za watu wengine tu ilizmchallenge Liverpool.Kuombea city washinde ni moja ya my best ways of showing how much i hate liver
Niko stressed/hasira halafu sina uhakika ni za nini exactly
Sijui ni liver kushinda ama city kufungwa ama ni jambo lingine
Siko poa kabisa muda huu
Wewe umeshaona timu yako ni Mataputapu uwezo wa kuikimbiza Liverpool hamna tena,kilichobaki ni kujikombakomba kwa timu za watu wengine tu ilizmchallenge Liverpool.
Acha kutembea na matokeo yako mfukoni vinginevyo utakuja kupata fedheha kubwa.Ni kweli team yangu mbovu kinyama
Sina namna zaidi ya kujikomba kwa city,kuna lingine unalojua unambie niconfirm kama ni la kweli au la uongo?
Acha kutembea na matokeo yako mfukoni vinginevyo utakuja kupata fedheha kubwa.