The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nimeona unawaombea City ushindi nikajua umehamia kwa jirani.

Uko powa?

Kuombea city washinde ni moja ya my best ways of showing how much i hate liver

Niko stressed/hasira halafu sina uhakika ni za nini exactly
Sijui ni liver kushinda ama city kufungwa ama ni jambo lingine
Siko poa kabisa muda huu
 
Haiwezi kuwa mpira, nakupigia in few minutes.
 
Wakimbiziiiii!!!!
Wazee wa kikoc kipanaaaa!!!!!

In pukki we trust!!!! Na bado shubaamitikengezenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuombea city washinde ni moja ya my best ways of showing how much i hate liver

Niko stressed/hasira halafu sina uhakika ni za nini exactly
Sijui ni liver kushinda ama city kufungwa ama ni jambo lingine
Siko poa kabisa muda huu
Pole. Bila shaka ww shabiki wa mwanitesa united. Sasa sbb ushaona timu yako ni hopeless sasa umebakia kuiombea city maana ndo anaweza mpa challenge Liverpool.
 
Kuombea city washinde ni moja ya my best ways of showing how much i hate liver

Niko stressed/hasira halafu sina uhakika ni za nini exactly
Sijui ni liver kushinda ama city kufungwa ama ni jambo lingine
Siko poa kabisa muda huu
Wewe umeshaona timu yako ni Mataputapu uwezo wa kuikimbiza Liverpool hamna tena,kilichobaki ni kujikombakomba kwa timu za watu wengine tu ilizmchallenge Liverpool.
 
Ni kweli team yangu mbovu kinyama
Sina namna zaidi ya kujikomba kwa city,kuna lingine unalojua unambie niconfirm kama ni la kweli au la uongo?​
 
Acha kutembea na matokeo yako mfukoni vinginevyo utakuja kupata fedheha kubwa.
 
Back
Top Bottom