Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema wapiGuardiola anasema sio muda ataachia ngazi hapo Etihad na mikoba kuchukuliwa na Mikel Arteta
Huko alikoKasema wapi
Naomba sourceHuko aliko
Naomba source
Asante bwana maana huyo Muasenali alitaka kunishushua na kunioshea kama mie ni muongo mkubwa![]()
Pep Guardiola praises 'smart' Mikel Arteta, admitting Spaniard could be his successor at Man City
Pep Guardiola believes Mikel Arteta would be well equipped to succeed him as Manchester City manager in the future and is destined for “incredible success” in management.www.telegraph.co.uk
Hahah! Amna labda alitaka kuipata habari kwa undani zaidi ujue na Arsenal wanamuhitaji jamaa kwa matumizi ya baadaeAsante bwana maana huyo Muasenali alitaka kunishushua na kunioshea kama mie ni muongo mkubwa
Hahahahhahh inawezekana mkuuHahah! Amna labda alitaka kuipata habari kwa undani zaidi ujue na Arsenal wanamuhitaji jamaa kwa matumizi ya baadae
Umeenda mbali sana , mm nilihitaji source ,niende nikasome article nzima ,maana niliitafuta sikuipata , japo hizo habar nilizisikia, maana hata Arsenal tunamuhitaji ArtetaAsante bwana maana huyo Muasenali alitaka kunishushua na kunioshea kama mie ni muongo mkubwa
jamaa nii balaaaMan U mnamkumbuka huyu bwana?...
![]()