The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu hili ni genge la mashabiki wa Manchester United na Arsenal wamekimbilia humu hakuna real fans wa City humu.
Real fan ni yule ambaye anashinda humu jukwaani kujadili..!?
Wewe endelea kupoteza muda humu, wenzako sasa hivi tupo ndani ya 5 stars hotel hapa Merseyside County tunasubiri kesho tuingie Anfield tukacheki game wakati huo wewe punguani utakuwa kibanda umiza kipigana vikumbo na wazembe wenzio ili upate upenyo wa kuona chochote kitu kupitia TV ya inchi 21..!
 
Hahahahahahahahah POVU
 
Mashabiki walio na funza kichwani hapa Tanzania ni pamoja na mashabiki wa Manchester City. Huwaga mna akili mbovu sana hasa usaliti umewajaa na tamaa..... Hamna cha maana nyie ni genge la timu zingine zingine uko zilizokosa matumaini ila mko hapa kujimwayamwaya kwamba na nyie ni mashabiki kumbe maandazi[emoji23][emoji23][emoji23] Na leo tunawanyoa bila kiwembe pale Anfield....#Kokorochi Mende
 
wewe takataka ya team gani¿
 
Acha kukariri wewe
jinsi ulivyoanza kuwa shabiki wa liverfools ndivyo hivyo na mimi nilianza kuwa shabiki wa The Citizens!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…