Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kiazi inamaana haujui hii team ina mashabiki wawili Tanzania nzima ni we na huyo kiazi mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani mashabiki wenzangu wa Manchester. Tunamuangusha sana shabiki mwenzetu goswe , tunamuacha jukwaani peke yake. Tunashindwa kumsapoti hata kwa hii habari ya Messi kutaka kutua katika chama letu la Manchester?
Hapo umenena kweli mkuu , binafsi aniwie radhi kwa u bize huu nilonao kwa kipindi hiki but tupo pamoja kabisa na chairperson Ngoswe na asichoke kutupatia mrejesho wa yajayo asante.Jamani mashabiki wenzangu wa Manchester. Tunamuangusha sana shabiki mwenzetu goswe , tunamuacha jukwaani peke yake. Tunashindwa kumsapoti hata kwa hii habari ya Messi kutaka kutua katika chama letu la Manchester?
Tupo wengi sana zaidi ya uwazavyo we kiroboto.We kiazi inamaana haujui hii team ina mashabiki wawili Tanzania nzima ni we na huyo kiazi mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]Em tuache kujidanganya jamani..
Mtu anaanzaje kuwa shabiki kindaki wa Man City?![emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kabisa mtu akae abishane na shabiki wa City, au Spurs.. Si kulazimisha mapenzi ya uongo[emoji23][emoji23]
Rudini timu zenu nyie! Hii City ibakie kama timu ya mpito.
Itokee inacheza na Liva ndio tushabikie City!
Tulia wewe punga, acha kuingilia mambo ya wanaume!We kiazi inamaana haujui hii team ina mashabiki wawili Tanzania nzima ni we na huyo kiazi mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23]
We juma LOkoLe huna la kuniambia ...[emoji23][emoji23]Tulia wewe punga, acha kuingilia mambo ya wanaume!
Wee jamaa saiv upo kila jukwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaposema wewe ni shabiki wa Man City, tunajua mpira umeanza kuufuatilia kwenye miaka ya 2010.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kiazi inamaana haujui hii team ina mashabiki wawili Tanzania nzima ni we na huyo kiazi mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuja kuwapa ushauri hawa jamaa huku. Wasijiumize bure!Wee jamaa saiv upo kila jukwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ni kweli,nitakuambia nini James Delicious!?We juma LOkoLe huna la kuniambia ...[emoji23][emoji23]
Hawa wamekimbia mahali inaonekana...[emoji23][emoji23]Eti hii timu nayo ina mashabiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]