The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jamani mashabiki wenzangu wa Manchester. Tunamuangusha sana shabiki mwenzetu goswe , tunamuacha jukwaani peke yake. Tunashindwa kumsapoti hata kwa hii habari ya Messi kutaka kutua katika chama letu la Manchester?
 
We kiazi inamaana haujui hii team ina mashabiki wawili Tanzania nzima ni we na huyo kiazi mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo umenena kweli mkuu , binafsi aniwie radhi kwa u bize huu nilonao kwa kipindi hiki but tupo pamoja kabisa na chairperson Ngoswe na asichoke kutupatia mrejesho wa yajayo asante.
 
We kiazi inamaana haujui hii team ina mashabiki wawili Tanzania nzima ni we na huyo kiazi mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo wengi sana zaidi ya uwazavyo we kiroboto.
 
Em tuache kujidanganya jamani..

Mtu anaanzaje kuwa shabiki kindaki wa Man City?![emoji23][emoji23][emoji23]

Yani kabisa mtu akae abishane na shabiki wa City, au Spurs.. Si kulazimisha mapenzi ya uongo[emoji23][emoji23]

Rudini timu zenu nyie! Hii City ibakie kama timu ya mpito.

Itokee inacheza na Liva ndio tushabikie City!
 
Unaposema wewe ni shabiki wa Man City, tunajua mpira umeanza kuufuatilia kwenye miaka ya 2010.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We kiazi inamaana haujui hii team ina mashabiki wawili Tanzania nzima ni we na huyo kiazi mwenzako[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ManCity had made an offer of €70M plus bonuses for José Giménez (25) - rejected by Atlético Madrid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…