The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ila ninyi inabidi msajili viungo aisee

Hivi mnajua kuwa Club yenu kwa sasa kiungo mkabaji wa umri mzuri ni mmoja tu(Rodri) ,Fernandinho ndio hivyo umri wa kustaafu tayari
 
Ila ninyi inabidi msajili viungo aisee

Hivi mnajua kuwa Club yenu kwa sasa kiungo mkabaji wa umri mzuri ni mmoja tu(Rodri) ,Fernandinho ndio hivyo umri wa kustaafu tayari
Nashangaa sana wanavyoangaika kusajili winger .
Huyu rodri yupo slow.
Kwa game za counter ni mgumu kukata mashambuliz
 
Huyu angelino sijui kwann pep hakumuain.
Juz ameshinda 2 uefa akiwa km left back.inabid tumrudishe.mendy hmna kila kitu.
 
Ttz sikuiz nafasi ni chache sn zinazotengenezwa.
Labda kdg ujio wa aguero ndo umeboost kdg pale mbele
 
Akaongezeka na Maddison nafasi zitakuwa nyingi
Pep mwenyewe haeleweki km anaongeza mkataba ama haongezi.
Nadhan ndomana hawajasajil kiungo,kama akienda ngoja tuone falsafa za kocha mwngne zitabase kwenye nn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…