Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Hivi mnashikilia nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi vile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann mkuu.Timu yenu inawahitaji sana watu kama Grealish,Maddison
Nashangaa sana wanavyoangaika kusajili winger .Ila ninyi inabidi msajili viungo aisee
Hivi mnajua kuwa Club yenu kwa sasa kiungo mkabaji wa umri mzuri ni mmoja tu(Rodri) ,Fernandinho ndio hivyo umri wa kustaafu tayari
Nani mbunifu pale ? Usiniambie De Bruyne ambae anadhibitikaKwann mkuu.
Ubunifu umepungua ama
Mumrudishe kwani Angelino kwani si aliuzwa moja kwa moja ?Huyu angelino sijui kwann pep hakumuain.
Juz ameshinda 2 uefa akiwa km left back.inabid tumrudishe.mendy hmna kila kitu.
View attachment 1610186View attachment 1610187
[emoji3] ukitoa kdb lbda bernado kdg.Nani mbunifu pale ? Usiniambie De Bruyne ambae anadhibitika
Alienda kwa mkopoMumrudishe kwani Angelino kwani si aliuzwa moja kwa moja ?
Wachezaji aina ya uchezaji wa Grealish hamnaoKwann mkuu.
Ubunifu umepungua ama
Bernado sio wa kumtegemea[emoji3] ukitoa kdb lbda bernado kdg.
Hapo sawaAlienda kwa mkopo
Yeah io ni kweli.Wachezaji aina ya uchezaji wa Grealish hamnao
Kiufupi timu imepwaya sanaa.Bernado sio wa kumtegemea
Bernado mzuri akiwa anatengenezewa
Akaongezeka na Maddison nafasi zitakuwa nyingiTtz sikuiz nafasi ni chache sn zinazotengenezwa.
Labda kdg ujio wa aguero ndo umeboost kdg pale mbele
Na sidhani kama FFP inaruhusu msajili zaidi kwa sasa labda miaka ya mbeleniKiufupi timu imepwaya sanaa.
Hatuna uhakika wa kushinda km zaman.
Pia striker anahitajika.
Pep mwenyewe haeleweki km anaongeza mkataba ama haongezi.Akaongezeka na Maddison nafasi zitakuwa nyingi