Na wazia tulimchukuakwa £30m tuu.Gundogun machine
Aisee sijui alikuwaga wap
Leo wakifungwa bas nitaanza kuwatoa kwenye title race...Mpaka form waipate sio February
Japo game kubwa anazipatiaLeo wakifungwa bas nitaanza kuwatoa kwenye title race...
Yaah movement karibu na box ni hatariNa wazia tulimchukuakwa £30m tuu.
Pep alisema jamaa kumbe ni mtamu zaidi akicheza krb na goli
[emoji23][emoji23] Kweli mzeeYaah movement karibu na box ni hatari
Yuko sharp kuachia shoot had golini
Foden anakuja vizur ,but ajitahid kupiga shoot nje ya box ,tukikutana na timu inayopaki bas stering huwa anaishiwa ujanja kabisa
Tatizo LA stering mpaka apate open chance ,ndio anashoot ,that why anakokota Mpira mpaka ndan ya box bila madhara
Mo ameshawajulia
Match ya spurs pale anfield nadhan mliona mlivo pambana
kupata matokeo
Mo anajua saizi liverpool ni mbovu ,hamna ukuta tena
Toka fabi atoke midfield had CB ,hendo the same ,aisee mmeishiwa mbinu za kushambulia
Wakimkata TAA na robartson ,tayar game watakuwa wameimaliza ,sioni namna gan mnaweza kutengeneza nafasi tena .hapo ndio mtamjua son na kane ni nan..
Huu ukuta ni hatari
Wakubwa still top of the league View attachment 1688252
Hawa kuku kanga kuna kila dalili ya ku drop hadi nafasi ya 7 ama chini zaidi .
Gundogun machine
Aisee sijui alikuwaga wap
Gundogun machine
Aisee sijui alikuwaga wap
Aisee game moja umeshinda
Wakati mnabanguliwa na Burnley hapo anfield mbona hujaleta huu utopolo
You can't win epl kama kumfungaKesho mnacheza na SU
Mtacheza kati ya week na Burnley
Hizo mtashinda bila KDB na ndiyo za mwisho
Febr mna Liverpool na akina LC akina Spurs,huwezi shinda bila KDB
Majogoo yatatetea tena ubingwa wao
Round ya kwanza tumecheza na woteThe wall of Itihad?
Mmecheza na nani?
Man City has been not tested yet
Hawajacheza na Spurs,Man U,Liverpool,LC,Everton twice,Wolves,Arsenal,Chelsea ya Tuchel kisha pata clean sheet ndiyo useme
Mechi zenu 5 za mwisho zote mmecheza na team trash hamna hapo cha kuisifia beki.
Bila KDB kufanya mkae na mpira muda mrefu Anfield,beki yenu hii itaokota zaidi ya mara mbili munyavu
Tunza hili andiko
Round ya kwanza tumecheza na wote
Hivi mpira unaangaliaga wewe kenge
Au kimfunga Jana spurs ndio umeona tayari EPL umechukua
Shiit