Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote TisaUlimfunga Arsenal na Chelsea tu
Arsenal kawa rejuvenated huwezi mpiga bila KDB
Chelsea wa Tuchel kwa hii diamond yako ya Rodri huwezi mpiga pia,Spurs sidhani kama unamuweza.
Liverpool ndiyo kabisa humuwezi bila KDB
Wekea nyota hizi msg
Top of the table and one game on hand (3 point uhakika)Ulimfunga Arsenal na Chelsea tu
Arsenal kawa rejuvenated huwezi mpiga bila KDB
Chelsea wa Tuchel kwa hii diamond yako ya Rodri huwezi mpiga pia,Spurs sidhani kama unamuweza.
Liverpool ndiyo kabisa humuwezi bila KDB
Wekea nyota hizi msg
Udhaifu wa Liverpool ni ile front 3 hawana ubunifu wakikutana na tough defenders ,toothless
Naamin pep ashaliona hilo
Kilichomuua mo ni kufunguka na kumuiga ole
Mim naiman Liverpool ni title contenders lakin kutufunga anfield ni big no ,tutagawana point msimu huu
Misimu uliopita
Man city vs Liverpool (4-0)
Liverpool vs man city (3-1)
Huu msimu
Man city vs Liverpool (1-1)
Liverpool vs man city (????)
Swala La muda
Yote Tisa
Soma ubao
We are top of the table
Cityzen chairman
Udhaifu wa Liverpool ni ile front 3 hawana ubunifu wakikutana na tough defenders ,toothless
Naamin pep ashaliona hilo
Kilichomuua mo ni kufunguka na kumuiga ole
Mim naiman Liverpool ni title contenders lakin kutufunga anfield ni big no ,tutagawana point msimu huu
Misimu uliopita
Man city vs Liverpool (4-0)
Liverpool vs man city (3-1)
Huu msimu
Man city vs Liverpool (1-1)
Liverpool vs man city (????)
Swala La muda
But hio haifutikiMkuu mbona una sahau mapema
3-1 nimekupiga league mbichi sana
4-0 unanipiga isha kabidhiwa kombe langu
League mbichi kwako msimu huu umeshindwa nipiga
Unalala Anfied easy tu
But hio haifutiki
Tumekupiga goli 4-0
Pale etihadi na kuchukua point tatu ambazo zilitifanya kumaliza nafasi ya 2
Sasa unavosema ulikuwa umekabidhiwa kombe ,does not make sense
Beki za spurs ziko vizurHatukufunga kwa NW,Soton na Burnley sababu wana beki nzuri zaidi ya Spurs?
Ilikuwa slip in form tu anbayo kila team ilipitia kama Man C kupigwa 5 na LC na 2 na Spurs!
Front men wa Liva ni hatari kuliko combo yyt ya soka hapa duniani
Beki za spurs ziko vizur
Lakin Jana morhno bila kujali aliamua kubadilisha mfumo ,kwa kucheza open game
ile nature yake ya kujilinda aliiweka pembeni ,huku akijua kabisa ndio njia ya kumfunga Liverpool kwan united aliweza kwa huo mfumo
Lakin bahat mbaya ,mbinu zimegonga mwamba ,hatimaye kaadhibiwa goli 3 kwake
City kwa sasa tuna ukuta (stone na dias ) aisee kuchukua point tatu kwetu haitakuwa rahisi
City bila hata kdb inawezekanaNilichukua kombe na game 7 mkononi
Nacheza na ww isha chukua kombe sina morali
League mbichi ilikula 3
League mbichi msimu huu hujanifunga kwako
Mwezi ujao kwangu nahitaji hizo points 3 na nazipata!
Hauna KDB ww unakua tu kama tu Spurs aliye changamka
Bernado atafanya nn kwa Thiago bana
Wamecheza naKaka hivi Stones na Diaz wamecheza na nani hasa tuanzie hapo?
Hata MO angecheza vipi Liverpool isha jeruhiwa isinge muacha
Hawa ni viumbe na nusu