The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ulimfunga Arsenal na Chelsea tu
Arsenal kawa rejuvenated huwezi mpiga bila KDB
Chelsea wa Tuchel kwa hii diamond yako ya Rodri huwezi mpiga pia,Spurs sidhani kama unamuweza.
Liverpool ndiyo kabisa humuwezi bila KDB
Wekea nyota hizi msg
Yote Tisa

Soma ubao

We are top of the table

Cityzen chairman
 
Ulimfunga Arsenal na Chelsea tu
Arsenal kawa rejuvenated huwezi mpiga bila KDB
Chelsea wa Tuchel kwa hii diamond yako ya Rodri huwezi mpiga pia,Spurs sidhani kama unamuweza.
Liverpool ndiyo kabisa humuwezi bila KDB
Wekea nyota hizi msg
Top of the table and one game on hand (3 point uhakika)

Cityzen chairman

Endeleen kupambania top four huko na kina westham
 
Udhaifu wa Liverpool ni ile front 3 hawana ubunifu wakikutana na tough defenders ,toothless

Naamin pep ashaliona hilo

Kilichomuua mo ni kufunguka na kumuiga ole

Mim naiman Liverpool ni title contenders lakin kutufunga anfield ni big no ,tutagawana point msimu huu

Misimu uliopita

Man city vs Liverpool (4-0)

Liverpool vs man city (3-1)

Huu msimu

Man city vs Liverpool (1-1)

Liverpool vs man city (????)

Swala La muda
 
Mkuu mbona una sahau mapema
3-1 nimekupiga league mbichi sana
4-0 unanipiga isha kabidhiwa kombe langu
League mbichi kwako msimu huu umeshindwa nipiga
Unalala Anfied easy tu
 
Hatukufunga kwa NW,Soton na Burnley sababu wana beki nzuri zaidi ya Spurs?
Ilikuwa slip in form tu anbayo kila team ilipitia kama Man C kupigwa 5 na LC na 2 na Spurs!
Front men wa Liva ni hatari kuliko combo yyt ya soka hapa duniani
 
Mkuu mbona una sahau mapema
3-1 nimekupiga league mbichi sana
4-0 unanipiga isha kabidhiwa kombe langu
League mbichi kwako msimu huu umeshindwa nipiga
Unalala Anfied easy tu
But hio haifutiki

Tumekupiga goli 4-0

Pale etihadi na kuchukua point tatu ambazo zilitifanya kumaliza nafasi ya 2

Sasa unavosema ulikuwa umekabidhiwa kombe ,does not make sense
 
But hio haifutiki

Tumekupiga goli 4-0

Pale etihadi na kuchukua point tatu ambazo zilitifanya kumaliza nafasi ya 2

Sasa unavosema ulikuwa umekabidhiwa kombe ,does not make sense

Nilichukua kombe na game 7 mkononi
Nacheza na ww isha chukua kombe sina morali
League mbichi ilikula 3
League mbichi msimu huu hujanifunga kwako
Mwezi ujao kwangu nahitaji hizo points 3 na nazipata!
Hauna KDB ww unakua tu kama tu Spurs aliye changamka
Bernado atafanya nn kwa Thiago bana
 
Hatukufunga kwa NW,Soton na Burnley sababu wana beki nzuri zaidi ya Spurs?
Ilikuwa slip in form tu anbayo kila team ilipitia kama Man C kupigwa 5 na LC na 2 na Spurs!
Front men wa Liva ni hatari kuliko combo yyt ya soka hapa duniani
Beki za spurs ziko vizur

Lakin Jana morhno bila kujali aliamua kubadilisha mfumo ,kwa kucheza open game

ile nature yake ya kujilinda aliiweka pembeni ,huku akijua kabisa ndio njia ya kumfunga Liverpool kwan united aliweza kwa huo mfumo

Lakin bahat mbaya ,mbinu zimegonga mwamba ,hatimaye kaadhibiwa goli 3 kwake

City kwa sasa tuna ukuta (stone na dias ) aisee kuchukua point tatu kwetu haitakuwa rahisi
 
Kaka hivi Stones na Diaz wamecheza na nani hasa tuanzie hapo?
Hata MO angecheza vipi Liverpool isha jeruhiwa isinge muacha
 
City bila hata kdb inawezekana

Kuna mido Kali sana

B Silva
Gundogun
Rodrigo
Frenandihno
Foden

Hao wote wanaweza kupata matokeo anfield
 
Kaka hivi Stones na Diaz wamecheza na nani hasa tuanzie hapo?
Hata MO angecheza vipi Liverpool isha jeruhiwa isinge muacha
Wamecheza na

United (carabao semi final)

Crystal palece

Brighton

Astonvilla

West brown

Game zote za fa

Performance yao ipo juu tayar wana winning sprity

Mkuu city anakikos kipana ,anafanya rotation still point tatu tunapata

Hizo zote ni clean sheet wametoa

Hawa viumbe ni monster

Etihad wallView attachment 1688980
 
Pep Guardiola won his 500th game across all competitions as a manager for a first-class European club - with an 80% win rate. [Squawka Football]
 
[emoji981]Pep Guardiola: "This time for many reasons we played the team bottom of the league, everybody is thinking wrongly if we didn't know what would happen. The team was incredibly committed, didn't make mistakes, they were so focused on second balls, the long balls."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…